Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

Nape Nnauye
Unaitwa huku!!!
 
Ingekua kipindi cha JPM, mitandao ingekua ishapigwa faini kuzuia huu upuuzi. Yaani wanapiga pesa nyingi sana kupitia huu ujinga wakati wanawalipa Watanzania mishahara midogo sana!
 
Bro majibu yako yananiangusha.nilikua nakuombea kwenye lile jambo lako ila nimefuta hayo maombi.Joking.
 
Hafu huu upuuzi wa kusimika vijiti , kwa nini serikali isiweke standard ya vi posts ,ambavyo Viko same nchi nzima hafu watu wavi sponse kama local authorities hazing uwezo. Waziri kakimbia utadhani Usain Bolt pamoja na kuanza na mbwembwe za helicopter ya jeshi letu
 
Ukitafuta mawaziri vilaza huyu nape ni wa kwanza pale hakuna kitu.
 
Mimi nikiwa kama rais nipeni muda
 
Sorry bro akili yako haiko sawa wewe sasa nyumba hazjapimwa mitaa haieleweki vichorovichoro tu ukaweka kibango hata ukimuelekeza mtu hafiki unaipa nyumba eti mtaa wa pogoro nyumba namba 10 kweli?
 
Nguvu zipelekwe kwenye upumaji wa ardhi kila Mkoa na wilaya ili kupata mpangilio mzuri
 
Sorry bro akili yako haiko sawa wewe sasa nyumba hazjapimwa mitaa haieleweki vichorovichoro tu ukaweka kibango hata ukimuelekeza mtu hafiki unaipa nyumba eti mtaa wa pogoro nyumba namba 10 kweli?
Hizo hizo nyumba za udongo na kuezekwa kwa nyasi ambazo hazijapimwa, zimeekewa umeme wa Rea hivyo hivyo zilivyo, mitaa inatumia GPS, hivyo uki Google Google map utaiona area view kibao cha mtaa kiwe ni cha nguzo ya zege, ya chuma, ya mbao au ya mti, doesn't matter much, Google haiangalii ni nguzo ya nini, inaangalia just geographical location.
P
 
Hii unasemaje?
 
Namba 37 hiyo picha ni nyumba iliyoanza kujengwa kama miako 10 hivi haijaezekwa ndani hadi miti imeota imepewa namba lkn kuna nyumba zenye hadi fensi hazijaandikwa namba
 
Namba 37 hiyo picha ni nyumba iliyoanza kujengwa kama miako 10 hivi haijaezekwa ndani hadi miti imeota imepewa namba lkn kuna nyumba zenye hadi fensi hazijaandikwa namba
Nyumba zote mtaa mzima zinahesabiwa na number mfuatano zinatolewa, ili kuwekuwa number ni lazima mmiliki ajulikane, hivyo hilo pagala mmiliki yupo na anajulikana, na hiyo yenye fence mmiliki hajulikani!, ila number yake ipo reserved, ajiandikishe jina la mmiliki hapo serikali ya mtaa apewe number yake.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…