Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

Sasa mimi wakati wa kutoa namba walikwaruza geti.
Waliporudi kuweka rangi rasmi nahisi hawakuiona hiyo namba hivyo sijawejewa hiyo namba
Number ipo, kuna watu wengi hawajui, vipimo vya anuani za makazi vinatumia GPS, hata kama hawajaandika, nenda Google map utaiona nyumba yako.
P
 
Picha
Picha
Kapicha baasi
 
Ingekua kipindi cha JPM, mitandao ingekua ishapigwa faini kuzuia huu upuuzi. Yaani wanapiga pesa nyingi sana kupitia huu ujinga wakati wanawalipa Watanzania mishahara midogo sana!
Si mnasema walikua wanaonewa?
 
Kule twitter niliona nimblock tu maana huwa anajibu hoja za maana kipumbavuuu... ni mjingaaa sanaaa
 
Hivi kwa akili yako unaweza kutegemea lolote la maana kutoka kwa Nape! Labda uwe huna akili! Jitu mbabaishaji lisilo na record yeyote ya utendaji!
Mara ya kwanza nilitegemea lakini sasa naanza kushituka nazani nimechelewa sana.
 
He is hopeless and fruitless hata angewekewa samadi vipi, "...ukiuliza kwanini yupo utaambiwa ni kwasababu ya baba yake" Makongoro Nyerere
Kuna watu ni mzigo hatari sana.
 
NI wewe Mayala umetoa hilo jibu?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Umemwelewa kweli wewe?

Nguzo za miti zinaoza baada ya mwaka mmoja tu, tena mingine inaoza baada ya miezi tu.

Hizo anwani ni temporary ama permanent.

Waziri anashindwa viti kutengeneza mwongozo na kama nchi tukawa na standard za namna ileile na za kudmu?
Kwa nini mambo yaende hohehahe?

Pascal Mayalla siku ikiwa haiko sawa uwe unatulia tu.
 
😳😳😳😳😳
 
Hapo watu wamepiga pesa ndefu na wamekaa pembeni
 
Mzigo mzito hata mnyamwezi umemshinda
Yani hao waliohusika na postikodi hawajaonekana kwa baadhi ya mitaa na hata namba kwenye majengo hamna tena katikati ya jiji.
Nape mtu wa blaa blaa
 
Huyu jamaa huwa anafurahia kuwa sehemu ya serikali tu kwa cheo cha waziri. Ila kimsingi hawezi ku deliver kabisa. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa ndo wamepata hizo nafasi kupitia majina ya baba zao .Huyo Nape ni bonge wa kilaza kwenye uongozi.
 
Epson L3111 for sale
printing(black and colored)
copying
scanning
price 420k(nagitiable)
0769925004.
 
Epson L3111 for sale
printing(black and colored)
copying
scanning
price 420k(nagitiable)
0769925004.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…