Hivi kuna mtu anaemwelewa Waziri Nape? Ni aibu sana

Kuna NAPE , BASHUNGWA na MWIGULU mpaka kesho sijui ilikuaje wakawa mawazili hasa katika wizara waliopo. Au naota??
 
Number ipo, kuna watu wengi hawajui, vipimo vya anuani za makazi vinatumia GPS, hata kama hawajaandika, nenda Google map utaiona nyumba yako.
P
Kumbe ww mzeee huna akili kabisa zero kabisa kwa hyo ulivyojibu ndio umeona umejibu sahihi kabisa? Hyo Google unayoongelea hapa unaijua kweli au? Au umekomaza fuvu lako tu unafikili kila mmoja anajua Huo utumwa wako? Ingekuwa hyo serikar si ingesema Ingia Google upate Anuani ya nyumba yako
 
Tulia Kijana.
 
Kabla ya mwezi wa 3 mwaka 2022, nilikuwa nikinunua 50GB kwa 50,000/= kwa mwezi. Baada ya hapo ikashuka mpaka 32GB kwa bei hiyohiyo. Then mwezi wa saba ikashuka hadi 28GB kwa 50,000/= na niliacha kununua. Lakini Mh Nape hayaoni haya?, akiulizwa anakwepa kuyajibia, anasema bado gharama ziko chini ukilinganisha na mataifa mengine. Hii 28GB ni ya juzi tu kabla ya sekeseke la bei elekezi.
 
Nimecheka ila ukweli huko singida wameweka mitaa porini kabisa machungani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…