Hivi kuna perfume ya kiume yenye kunukia vizuri kuliko hii?

Mimi sio mpenzi wa haya madubwana kabisa ila nimewahi kukutana na binti mmoja Arusha alikua ananukia marashi poa sana hadi nikavutiwa

Nilipo muuliza jina na marashi haya akasema ina ALOPE kama sijakosea jina

Bado naitafuta hiyo perfume ya Alope na sijui ntaipata wapi na bei zake zipoje?
 
Sasa mkuu yani unatumia perfume ya 350k halafu unapanda mwendokasi? zile purukushani tu za mule ndani si unatoka jasho limeshakutoka.
 
Aah naikubali miaka 100 kitambo sana
Mimi honestly si mpenzi wa perfume na manukato. Nashkuru Mungu kwakua mwil wangu sina jasho la kunuka. Na pia mimi ni mdau wa kuvaa nguo 1 mara moja katika ndani ya week hivyo na pia sipendelei sana kujipuliza marashi kwenye ngozi
 
Lipia tangazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…