Hivi kuna sehemu Tanzania bodaboda wanakimbia kama hawa wa Arusha?

Acha wivu wa kike jomba. Mtu kukuambia yeye ni mwehu haimaanishi yeye ni kichaa anamaanisha hapendi ujinga ujinga.

Mkitoka huko vijijini kwenu daslam mkaingia na ushamba Arusha lazima tuwaambie muache mazoea ya kiree.
 
Uvutaji wa Bangi kiholela,Unywaji wa Pombe kali zisizo na viwango,Ujuaji wa Kijinga,Vijana wa kike kuvaa nguo za wanaume,Upumbavu na Uzandiki ndivyo vitu vimeiletea laana Arusha.
Wewe inakuhusu kitu gani mzee? Huko kwenu mnapokunywa gongo na kuchinjana chinjana hovyo na kulogana ndio hakuna laana?

Acha wehu wako wewe.
 
Mingi ni mivuta bangi,inakula mirungi kama mchele,mijuaji ya kijinga na ndiyo maana inakufa kila leo
Huko kwenu hamfi? Bangi hamvuti? Mirungi hamli?

Tusipangiane maisha.

Siku zote ukiona watu wanakufuatilia na kukusema sema ujue wanakukubali ila wivu ndio umetawala.

Machalii wa Arusha tunakubalika sana kila kona ya dunia sio washamba wa vijijini huko kama wewe uliofika town mwaka jana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…