Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

Si ulete ushahidi wa hayo maovu wanayoyafanya GSM? Utakufa kabla ya siku zako usipokuwa makini.
 
Kuna taarifa nimezisikia kuhusu huyu jamaa, lakini acha nitulie maana alichotendwa ni unyama sana na si vizuri kujadili tetesi zilizojificha, na ukichukulia kwa sasa wenye haki miliki na taarifa za huyu ni Makonda na leo tena.
Dokeza kidogo Mkuu, kwani, tetesi ni kutegemea.
 
Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu.

Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.

Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo

Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
 
Bandiko hili ni la 2016!, marafiki wakubwa, sasa ni paka na panya!.
Kile kiwanja ni kama walimpa bure kwasababu atakuwa ni wao ndio waliompa pesa za kukinunua, wakamuuzia, wakampa hati. Kosa lake, hakubadili jina, hivyo wakamzunguka kwa kuripoti hati imepotea, ikatolewa hati mpya na sasa wanajidai hawakuwahi kumuuzia.
ukweli ni huu
Asante Sana kwa taarifa hii, naomba Mimi Mwanajeiefu mwenzenu, niwe mtu wa kwanza kuwajulisha kuwa hii vita ya kutaka kumdhalilisha mpakwa mafuta wa Beans, Paul Makonda, sasa ndio mwanzo WA mwisho wa hasidi huyu!. Karma ndio itamaliza kila kitu. Simaanishi Makonda ni malaika, bali, ni binaadamu kama binadamu wengine, hakuna mkamilifu, hivyo na yeye kuna makosa ametenda na tayari karma imeisha mshughulikia, hivyo kwa maonevu anayotendewa na hasidi huyu, ni Mungu, Baba ndiye atamlipia.
Kwanza mafanikio yake ni kutoka kwa Mungu.

Kisha, Wale mnaosubiri kwa hamu Makonda atumbuliwe, mtasubiri sana!. Ukiwa ni mpakwa mafuta, ni mpakwa mafuta!

Hivyo, hata kampeni batili ya kutaka kumpora kiwanja, ni upepo tuu na utapita.

Watu kumfanyia fitna na majungu, Makonda, hawakuanza leo

Yote haya yatapita, na Makonda atasimama.
P
 
Leo hii umebadilika utafikiri sio wewe 😢
 
Kuna wakati unachosha P.
 

Please usipende kumhusisha Mungu kwenye dhambi. Makonda hawezi kuwa mpakwa mafuta wa Bwana kwa matendo na kwa kauli za kiburi na dharau.
 
Waswahili wanasema ukimzoea Mbwa atakufuata hadi msikitini?
Uongo ukweli @FaizaFoxy
 
 
JF kiboko
 
Please usipende kumhusisha Mungu kwenye dhambi. Makonda hawezi kuwa mpakwa mafuta wa Bwana kwa matendo na kwa kauli za kiburi na dharau.
Wengi wa watu humu sio ni watu wa matukio tuu, hawa dig deep, mimi nime dig deep, Makonda ni mpakwa mafuta wa Bwana, sasa ndio utalielewa hili kwa jinsi huyu Mbulushi atakavyo teketea!.

Hakuna mkamilifu, hata kwenye Bible, yule mtoto wa Yese aliyepakwa mafuta ni Daudi, akampiga Goliati, akawa Mfalme Daudi, akamtamani mke wa Jemedari wake aitwae Uriah, akamuua Uria na kumtwaa mke wake, ndie aliyemzalia Suleiman aliyakuja kuwa Mfalme Suleiman.

P
 
Pasco bana... huyo apakwe mafuta na nani? ogopa sana sponsor kufariki! Bashite analipia yote aliyoyafanya kwa mgongo wa madaraka na kukingiwa kifua na yule dikteta wenu ambaye mungu aliamua kutuponya nae! Naona bado mnaomboleza
 
Pasco bana... huyo apakwe mafuta na nani?
Mkuu samora10 , tatizo kubwa la wana JF wengi, hawapendi kujishughulisha kusoma, kuona au kusikiliza vitu in deep ili kupata maarifa, hivyo hawajui hata historia za watu. Kama na wewe ni mtu wa kundi hilo, endelea kuamini Makonda sio mpakwa mafuta wa Bwana, lakini kama unapenda kupata maarifa, karibu HAPA!
Huyu jamaa wa GSM, kiukweli kabisa, wala hana shida na hicho kiwanja, ni wao walimpa Makonda pesa za kukinunua kiwanja chao, wakamkabidhi hati, kosa la Makonda, hakubadili jina, hivyo jamaa wakaamua kumdhalilisha kwa kumdhulumu kwa kumpora, kwa kwenda Ardhi kudai hati imepotea, wakapewa hati nyingine, kisha kujifanya hawakuwahi kumuuzia Makonda, and to repossess kiwanja chao, ili tuu kumdhalilisha!.
Mungu hapendi dhulma, hivyo kwenye hili ni Mungu atampigania Makonda.
P.
 
Nchi ina upungufu mkubwa wa investigative journalists wenye nia na weledi. Wengi wameendekeza tu udaku/umbea huko kwenye media houses.
So kuna vitu vingi havijulikani mapema pengine hadi wahusika wakosee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…