Unaweza kuta ngabu unajipikia ugali mgumu sana huko marekani na kwenda kujisaidia vichakani😀Hahahaa.
Hizi stori na stereotypes za Wasukuma huwa nazipenda sana.
Ni comic relief tosha kabisa.
Na kusema ukweli, huo ‘ushamba wa Kisukuma/ wa Wasukuma’ kwangu ni badge of honor.
Haha!!Ayoo nyanda madirishaAguhaya weyi!
Ni kama kuuliza uhusiano kati ya Kitunguu na NyanyaInawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.
Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
Unafunga kwa kuomba na kusali upate mme bora,mme bora kapatika wewe unasema HAPANA KWA KWELI😅Hapana kwakweli 😃😃😃
Utaniponza ujue🤣🤣we mi niache niendelee na ngarangara langu mzabzab kila mtu humu anajifanya hamtaki eti ana tabia mbaya mi ndio namtaka hivyohivyo😹😹😹 Shimba yeye mwenyewe anataka kujiweka kwako, na kasema akinywa maji anakuona kwenye glass, hawezi kuishi bila wewe..!!!
Jimbo lenye upinzani ndo zuri, hatutaki kupita bila kupingwa twende nalo mji uchangamke 🤣🤣
Safi shangazi wee na mie mpaka kufa nankuzikana lazina wana jf waje kwenye harusi yetu....pale nesho. Pilau chini sie tupo juu ya helikopterUtaniponza ujue🤣🤣we mi niache niendelee na ngarangara langu mzabzab kila mtu humu anajifanya hamtaki eti ana tabia mbaya mi ndio namtaka hivyohivyo
Ooh pole sana dearHe died.
Wewe ni mkorofiii😀😀😀😀Unaweza kuta ngabu unajipikia ugali mgumu sana huko marekani na kwenda kujisaidia vichakani😀
Nyanoko utulagwa bhugosha na nva.Kuna mmoja alikuja kwangu binti wa miaka kama 22 wife kampa material ikiwemo nazi aunge kande la nazi.nazi alikua kashakwangua tiari wife.ni kitendo cha kukamua tu.basi binti kjipinda jikoni nkawa nasikia chwaaa chwaaa anakalangiza nkajua wasukuma na makande ni kama punda na mzigo.ikafika muda wa kutia nazi wacha amimine machicha kama yalivyo kisha akakoroga.aiseee msosi umetengwa kila mtu akitafuna kande anakutana na chicha kumhoji ndo akasema alimimina kama lilivo hakujua kama linatiwa maji na kuchujwa.
Hii baghosha amasukuma manywana na matumbafu sana halafu masoso giti ma jangu
Safi sana Mwamba. Kuna kitu nimewaambia huko juu ila hawajanielewa. Baada ya miaka mochache Wasukuma watakuwa wanamiliki ardhi karibu yote ya Tanzania. Na ndo watakuwa Madon. Si ardhi inapanda thamani kila siku? Safi sana Sukumas.Ngoja niteme nyongo kidogo
I declare interest
Huu ushamba umetusaidia tumenunua ardhi yenu morogoro, Iringa, Mbeya Tanga ,Dodoma, lindi, mtwara, mpanda Kigoma, achana na mikoa yetu, Huko kwenu ndo tunachungia na kuzalisha vingi.
Na dada zenu huwambii kitu Kuhusu sisi.
Huu ushamba bana tunamiliki population ya 20+ million na theluthi ya wanafunzi wa elimu ya juu nao ni wetu.
kwa kufupisha story
ushamba wetu ndo akili zetu we ukisema tena kesho nanunua ekari mia songea.
Hobhela ya dongo ebheeNyanoko utulagwa bhugosha na nva.
Uli ntumbafu gete. Yaani uli Nsukuma halafu uliho henaha kubashimanga abha Sukuma bichako. Uli na masala o nywanoko bhe?Hobhela ya dongo ebhee
Ila ubhushamba tulinabho nkoiUli ntumbafu gete. Yaani uli Nsukuma halafu uliho henaha kubashimanga abha Sukuma bichako. Uli na masala o nywanoko bhe?
Ubhushamba alenabho noko! Ulihaya kuniwela amakabila agange gati na bhushamba? Nigasha Singida nabhona umo bhale bhashamba na bhasoso kutinda Bhasukuma. Na maendeleo bhatatushikile halafu uliyomba mihayo ke?Ila ubhushamba tulinabho nkoi
Santeee.Ooh pole sana dear
Kwahiyo unataka sema Nyani Ngabu Yuko hivyo piaInawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.
Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea