Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
πππππππ€£Wanapenda shobo hata kwa mtu wasiemfaham ni juzi tu nikiwa kwenye daladala la natokea mkolani tulivyofika mkuyuni alipanda dada wa kizungu daladala lilikuwa limejaa hivyo akawa amesimama na begi lake ghafla kuna msukuma huko siti ya nyuma akaropoka "naompa nikusaidie kubhebha bhegi" yule wala hana habari msukuma akarudia tena "naompa nikusaidie kubhebha bhegi naona kama linakuumiza wajameni" ilibidi abiria waangue kicheko tu
Nije wapi?migatomvaningi njoo na nyaningabu
Hawana aibu kuongea kiSukuma mbele ya mgeni yaani hawa watuWana kata matonge makubwa...ππ
Wana tafuna mahindi/makande kwa nguvu...π
Wana tafuna miwa na karanga hata kama wamevaa suti...π€£π€£
Wanaongea kwenye sim kwa sauti kubwa...ππ
Hawauzi ng'ombe ili wakatibiwe hata kama wana karibia kukufa...π€¨
Nakadhalika na kadhalika...
Zamani kwenye gazeti la sani ,kuna katuni ilikuwa inawaonyesha wasukuma wametozwa pesa kuangalia maghorofa Town...na nyingine ile kutembea na radio ya mkulima sehemu yeyote.Inawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.
Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
πππAisee π π ila mimi nawapenda wasukuma jamani naona ni husband materials hawana mambo mengiπ
Wasukuma ni brand kubwa sana Ng'wanangwa. Hivi kuna kabila Washamba kama Waha??? π€£π€£π€£Kweli nimeamini Tz hii bila wasukuma haijakamilika asee. Mbona vitu ulivyosema wewe hata waha,wamasai,wambulu nk wako hivyo hata akikosea simu atalazimisha na haelewi Hadi ukate simu?
Manyanza
Hahahaha financial services , wasukuma tutakuwaje na mambo mengi wakati tunaambiwa ni Washamba.Aisee π π ila mimi nawapenda wasukuma jamani naona ni husband materials hawana mambo mengiπ
Naneke buli? Adenkima?
Aleyo bayanda, yabiza genehe ng'wandya gusobya??? π€£π€£π€£Nkima one ong'hwene nikage odelelagwa keyi nang'hoπ
Ng'wamaiselufu (Ng'wanene) πππNg'waghuku pweyee
Nduhu ogumana,hamoniyo ling'wana ligudukoyaga guke.Aleyo bayanda, yabiza genehe ng'wandya gusobya??? π€£π€£π€£
Nange Ong'wanike ng'wene nsumba na wape sana?
Hayagi baghalo dochale mitugo....
Ng'wanike ong'hwene Nkoyi πππNduhu ogumana,hamoniyo ling'wana ligudukoyaga guke.
Sio chai ni kweli
Ni sawa na kuuliza kuna uhusiano gani kati ya kyupi na kalioInawezekana Kila mtu ni mshamba lakini ushamba tunakuwa nao kwa muda, ila kwa upande wa wasukuma ushamba ni kitu hakiwatoki nimekuja kubali msukuma hata angezaliwa New York city still angebaki na viashiria fulani kuonyesha kuwa ni mshamba.
Nimejifunza haya baada ya interaction na wasukuma yaani wao ushamba hauwatoki.
Angalia wakikosea namba ya simu utakapokereka nao halafu wagumu sana kukubali kuwa amekosea
HahajahahKuna mmoja huyo anakata bonge moja la tonge afu anaanza kuligawanya vipande vipande likiwa hapo hapo mkononi π
Sawa mjanja wa kimarekani na mstaarabu wa kiingereza. Wewe uko tofauti sana na watanzania wengine kwa ujanja wako.. hata uandishi wako tu hapa na username yako inaonesha wewe bonge la mjanja. Tuiombe serikali sikivu ya mama samia ikupe kibarua cha kuwaelimisha na kuwatoa ushamba wasukumaKimsingi waTz sote ni washamba ila hawa watu wameshikilia bendera la washamba na tatizo la ushamba linafanya mtu kukosa viji-elements vya kistaarabu. NB mnisamehe