Hivi kuna uhusiano gani kati ya Usukuma na ushamba?

Ndiyo maana Watindiga mimi nawakubali sana. Wanakula nyama zao mbichi hawana shida na mtu halafu mtu anatoka huko na ustaarabu wake wa kizungu anaanza kuwaponda. Hovyo kabisa!
 
Huyo ni soulimeti wangu muache bana. Halafu mimi mbona nimenyoka kama rula jamani? Hebu mwache Mnyaki wa watu aje ale mema ya nchi bana! 😁😁😁

Kama PM yako iko wazi nakuja kukugombesha!
My saulimeti hana shida mtu wa watu, na akipatikana msukuma mwingine kama wewe nipasie mapema, uwe shemeji na uwe solimeti pia😀
 
Hawajui kua,hata wao wa mjini,siku wakienda huko vijijini kwa wasukuma,na wao pia wataonekana kua ni washamba.
 
hawa wamba ni free souls sana🤣wakiwa kwenye usafiri wa umma kama basi unakuta mmoja yuko siti za mbele anapaaza sauti ya juu kuongea na wenzie walio siti za nyuma hlf wenyewe wanapiga kilugha chao hawana wasiwasi🤣utafikiri wengine hampo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…