johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na wewe jasusi si ulikuwa team yake ya kampeni ila baada mzee wangu Kinana kkuingiza mjini ndio akili zimekurudia...Ulikuwa kipofu wakati wa utawala wa Mwendazake? MATAGA mnatapatapa
Kwani awamu ya 5 Rais alikuwa nani mkuu wa yericko!Ulikuwa kipofu wakati wa utawala wa Mwendazake? MATAGA mnatapatapa
Kwa nini hukuuliza tangu wakati huo wa awamu ya tano! Na uje uulize leo? Huu siyo unafiki kweli Bwashee!!Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Jibu swaliKwa nini hukuuliza tangu wakati huo wa awamu ya tano! Na uje uulize leo? Huu siyo unafiki kweli Bwashee!!
Kila zama na kitabu chake bwashee!Kwa nini hukuuliza tangu wakati huo wa awamu ya tano! Na uje uulize leo? Huu siyo unafiki kweli Bwashee!!
Jibu swaliUlikuwa kipofu wakati wa utawala wa Mwendazake? MATAGA mnatapatapa
Atemane nao kivipi wakati Madame President ni kitu kimoja na Magufuli?Upumbavu aliuanzisha jiwe. Samia angetemana nao
Jasusi sikuoni tena kule Youtube halafu Twitter ulini block bila sababuUlikuwa kipofu wakati wa utawala wa Mwendazake? MATAGA mnatapatapa
Hilo swali linakufaa wewe kulijibu.Jibu swali
Hahahah...... Tate mkuuKwa nini hukuuliza tangu wakati huo wa awamu ya tano! Na uje uulize leo? Huu siyo unafiki kweli Bwashee!!
Wewe ulitaka aone fahari kuzungukwa na vimada?Ulikuwa ni Ushamba na Ulimbukeni wa Mwendazake.
Mwendazake alikuwa anaona Fahari sana kuzungukwa na Maaskari Muda wote, ndio.Maana hata Kisarawe kwa Yule Bi Dada alienda na CDF, IGP na Mkuu wa Usalama na ma Generali kadhaa
Hili hata mimi najiuliza. Na akirudi safari viongozi wote wanaenda kumpokea. Angekemea hii tabia. Spika, Jaji Mkuu, Mkuu wa majeshi, IGP wanatakiwa kuonekana nae kwa nadra sana. Hasa Spika na Jaji Mkuu.Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Si lazima....Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
bora hata huyu hapeleki chatoNauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.