johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Nimekuelewa bwashee!Si lazima....
Ila ni utaratibu wa nchi yetu tu ambayo hufuata nchi za jumuiya ya madola......
Ikumbukwe NCHI YETU ni ya "kipekee" kuanzia UJAMAA WAKE WA KIAFRIKA mpaka MUUNGANO WAKE wa nchi mbili....
Yako Mambo ambayo si lazima kuyaiga kwa wengine na ambayo hutupa UPEKEE na UTULIVU wetu wa kupigiwa mfano......
Mfano marekani ,wale secretaries (mawaziri wao) baada ya kuteuliwa huapa na kuapishwa bungeni tena haihudhuriwi na wabunge wote(senates) bali wale wa kamati ihusuyo wizara hiyo...mfano;Kamati ya bunge ya Mambo ya nje hushuhudia uapisho wa WAZIRI WA MAMBO YA NJE......
#StaunchSupporterOfTanzania
#DieHardFanOfCCM
Asante meku !!Nimekuelewa bwashee!
Yule Mwendazake alikuwa anaogopa kupinduliwa ndiyo maana hata shughuli ndogo lazima CDF, DG TISS, IGP wawepo.Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Huu utaratibu uliletwa na yule dhalimNauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Ni kama vile hawana kazi zingine za kufanya!Hili hata mimi najiuliza. Na akirudi safari viongozi wote wanaenda kumpokea. Angekemea hii tabia. Spika, Jaji Mkuu, Mkuu wa majeshi, IGP wanatakiwa kuonekana nae kwa nadra sana. Hasa Spika na Jaji Mkuu.
Amandla...
Hii staili aliianzisha the late magu,huko nyuma haikuwepoNauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Nauliza tu maana utaratibu huu ulianza awamu ya 5 ambapo Rais wa JMT anapoapisha wateule wake viongozi wote wakuu wa serikali na wa vyombo vya dola lazima wanakuwepo.
Je, kuna ulazima wowote hawa viongozi kuhudhuria hata uapisho wa watu wadogo wadogo kama maDED na maDC?
Ni hilo tu.
Jasusi Twitter yake anachosha. Ana retweet kila kitu. Afu jasusi hagusii kabsa tetesi za mwendazake kuuliwaJasusi sikuoni tena kule Youtube halafu Twitter ulini block bila sababu
Ulikuwa kipofu wakati wa utawala wa Mwendazake? MATAGA mnatapatapa