Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 3,114
- 6,309
- Thread starter
-
- #61
Nani amewahi kushuhudia au tumewasoma tu kwenye historia. Maybe kwa ushahidi wa kihistoria wawezekana walikuwepo lakini nani ambaye anafahamu kama alikuwa mtu halisi au wa kufikirika?Kina socrates, plato, hawajawahi kuwepo?
Sifahamu lakini vitu kama Vitabu alivyoandika vinaweza kuwa uthibitisho pengine hata sehemu alipozikwaKina socrates, plato, hawajawahi kuwepo?
Ukisema kitu kipo unatakiwa uthibishe uwe na ushahidi na sio storiKina socrates, plato, hawajawahi kuwepo?
Hata sasa Yesu anatenda mambo makuu zaidi ya hayo yaliyoandikwa kumuhusu akiuthibitishia Ulimwengu Uwepo,Uwezo na Mamlaka aliyo nayo.Kila dini ili ikukamate lazima uamini. Hata kwenye utapeli mara nyingi kinachoponza watu ni uaminifu. So how can you believe something you can't verify unabaki kusema Imani ndio kila kitu, amini kwanza uone 🤔🤔
They are all stories..... Not facts
Mere stories, hii ni based ni Imani yako. Kila mtu kutokana na Imani yake anaweza kujiona yupo sahihi. Dini zimefunga watu wengi, kila utakapo jaribu kujua ukweli ukiwa kwenye spectrum ya kidini unakuwa limited vitisho vingi 😂 badala ya kutumia logic.Hata sasa Yesu anatenda mambo makuu zaidi ya hayo yaliyoandikwa kumuhusu akiuthibitishia Ulimwengu Uwepo,Uwezo na Mamlaka aliyo nayo.
Mungu huwapinga wenye KIBURI bali huwa Wanyenyekevu NEEMA
Utumwa ni kufata utamaduni wa wengine na kuacha wakwako. Huwezi kusema wewe ni mjukuu wa Adam na Hawa.Ni ngumu kuelewa kama husomi biblia na kuelewa ujumbe uliomo.
Na biblia ukitaka kuelewa inakupasa usome kwanzia mwanzo hadi mwisho siyo kwa kuruka ruka kama wachungaji wanavyo fundisha watu wakasome sijui mstari flani nk.
Hapo mtu hawezi kuelewa kamwe atakuwa mtumwa milele l.
Anaitwa nani?The one whom automated lives.
Unadhani mimi nikiacha kumwamini Yesu ndio ataacha kujidhihirisha kwa watu wanaomwamini?Mere stories, hii ni based ni Imani yako. Kila mtu kutokana na Imani yake anaweza kujiona yupo sahihi. Dini zimefunga watu wengi, kila utakapo jaribu kujua ukweli ukiwa kwenye spectrum ya kidini unakuwa limited vitisho vingi 😂 badala ya kutumia logic.
Mimi sifahamu, Wala sijui origin of the earth. I just understand what is verifiable and keep verifiable info's as facts.Anaitwa nani?
Amini unacho amini boss always Imani ni interpersonal though don't use Imani mahali panapohitaji logic+fact unless you can deeply verify something you believe.Unadhani mimi nikiacha kumwamini Yesu ndio ataacha kujidhihirisha kwa watu wanaomwamini?
Kwa hiyo unaabudu usiyemjua?Mimi sifahamu, Wala sijui origin of the earth. I just understand what is verifiable and keep verifiable info's as facts.
I don't worship or hold any kind of religious faith or believe. I'm not an Atheist, I live based on how the nature reveals itself.Kwa hiyo unaabudu usiyemjua?
Acha uoga wewe jiachie tuI don't worship or hold any kind of religious faith or believe. I'm not an Atheist, I live based on how the nature reveals itself.
I feel like the current regions and most faith are just mere adherence to stories.Acha uoga wewe jiachie tu
It just verifies itself evidentlyAmini unacho amini boss always Imani ni interpersonal though don't use Imani mahali panapohitaji logic+fact unless you can deeply verify something you believe.
What verifies itself??It just verifies itself evidently
Sasa si useme tu kuwa wewe ni atheistI feel like the current regions and most faith are just mere adherence to stories.
No fact's no evidence no one wants to hear the truth or questioning what most of us don't understand.
Faith in JesusWhat verifies itself??
Imani yangu namfaham mwenyewe atheist haamini Chochote ila Mimi Nina Imani yanguSasa si useme tu kuwa wewe ni atheist
Verify it hapa tunahitaji usilete story we need factsFaith in Jesus