Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

😍😍😍Hahahah hapo swadaktaaah, wacha nitafute nyumba soon 😝😝😝 nije kuinjoy madiko diko mie...mwanamke kupika bana!
Wacha weee🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Game la kibabe sana lilikuwa
 
Hizi ndizo shuhuda sasa tunazotaka kuzisikia 🥰🥰waambie waje wachukue mchango wangu wa harusi
 
Yaani swala na simba eti waamue wakae pamoja, labda simba huyo awe vegetarian😀😀
Hii ndio comment iliyonifanya nikachwka sana..
🤣🤣 ni vegan mkuu
 
Bibie naona hii kitu imekufurahisha, kama ulikuwa unameota mwota huyo mheshimiwa ndoto zitatimia sasa[emoji28][emoji28]
Mwisho wa comments nitakuja kusema kitu..jitahidi unikumbushe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…