Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Game la kibabe sana lilikuwaWazungu wanaweza,ila ngoz nyeus n ngumu,wazungu huweza Kuja kutalii huku marafik ambao n jinsia tofaut na wakarud bila kulana........Kuna kaka angu alimla demu kutokana na vyumba vyao kuwa Karbu na vilkuwa havjakazwa huu,walkuwa wanapga story mpaka usku na wakienda kulala bado wanaendelea kupga story kila mtu akiwa ktandan kwake,sku moja huyo madam uzalendo ulimshnda alichofanya nkumuulza jamaa kama anazo kondom ,Bahat nzur jamaa alkuwa nazo,kilchofata n kula tunda kmamasihara
Jua hiviiiiii............................................Sasa a akufungulie mlango wa nini na kila mtu anaufunguo wake??
Hizi ndizo shuhuda sasa tunazotaka kuzisikia 🥰🥰waambie waje wachukue mchango wangu wa harusiHakuna mkate mgumu mbele ya chai😀😀...Mi nina sista yangu walianza hivyo hivyo na rafiki yake waliotoka chuo kimoja, vyumba tofauti, wakaanza ooh mara leo pika ww, oh mara naomba nisaidie kupasi, mwisho wa siku wakarudisha
Chumba kimoja wakabaki na kimoja 😜... sahivi wameshajenga tunachosubiri ni ndoa
Ndo hali halisi mkuu!Mbona ukweli mchungu huu hakyanani
Yaani swala na simba eti waamue wakae pamoja, labda simba huyo awe vegetarian😀😀
Ni mimiii kabisaaaaaChaguaneni sasa awe nani🤣🤣
HahahaWe mtu bhana unauzoefu aiseh