Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Akikubali mkumbato imeisha hiyo🤣🤣
 
Kwani hii dunia ni yetu🤣🤣🤣🤣🤣
Mbinu yako imekaa poa snaa
 
Natafuta wa kupanga naye..jinsia tofauti na Mimi..nataka nipate jibu la chakorii..😎
Endelea kufuatilia comments dada afe beki afe kipa lazima jibu lipatikane yna2
 
Hii ni sawa sawa na kwenye uchaguzi wa mwaka huu CHADEMA wawaombe Mawakala wa CCM wawasaidie kulinda kura zao sehemu watakazoshindwa kuweka mawakala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…