Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Hivi kuna uwezekano kati ya mwanamke na mwanaume kupanga nyumba moja bila kuwa na mahusiano?

Nashukuru ...nitakuwa nimepatiaa sana make wachache wamepewa ofa hii

But kiukweli inawezekana make muhim muamue kuishi kwenye huo msingi wa urafik na maisha yake naamini ni mazuri balahaaa ...uchanganyee urafiki na ushikajiiii raha sana nahisi

Sema kwa wenye mentality ya ukmtumia text nne binti na akajibu ukawaza wa ya tano umuingizee kingi kimtongozo hawawez kukubaliana na mawazo yangu japo sjapata lunch yawezekana mawazo ya njaa njaaa
Hivi kwa nini hawa wajumbe huko juu was iwe na mawazo kama yako??
 
  • Thanks
Reactions: Lee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nina imani hizi koments zimekunyegesha sana, ntakukumbusha jioni
Ningeuona udu** kwenye comments labda🤣🤣🤣lakini maneno tu🤣🤣hapana aise
 
Ila kwa ninavyowajua wazee wa kazi hakuna kinachoshindikana chini ya jua hata awe na sura mbovu..Ila cha mtema atakiona
 
Kwa asilimia kubwa labda 90% haiwezekani. Mtaishia kuvuana chupi tu kwa wale wanaovaa chupi 😜😜😜

Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza 👆juu..

Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.

Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅

Comments zenu nitazizingatia😁😁

Naomba kuwasilisha

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂🥂
 
Back
Top Bottom