Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nina imani hizi koments zimekunyegesha sana, ntakukumbusha jioniMwisho wa comments nitakuja kusema kitu..jitahidi unikumbushe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nina imani hizi koments zimekunyegesha sana, ntakukumbusha jioniMwisho wa comments nitakuja kusema kitu..jitahidi unikumbushe
Hili ndilo neno la leoBwana eee we only live once..[emoji2957][emoji2957][emoji2957]mambo yasiwe magumu[emoji1787][emoji1787]
Hivi kwa nini hawa wajumbe huko juu was iwe na mawazo kama yako??Nashukuru ...nitakuwa nimepatiaa sana make wachache wamepewa ofa hii
But kiukweli inawezekana make muhim muamue kuishi kwenye huo msingi wa urafik na maisha yake naamini ni mazuri balahaaa ...uchanganyee urafiki na ushikajiiii raha sana nahisi
Sema kwa wenye mentality ya ukmtumia text nne binti na akajibu ukawaza wa ya tano umuingizee kingi kimtongozo hawawez kukubaliana na mawazo yangu japo sjapata lunch yawezekana mawazo ya njaa njaaa
IPO siku tu atavutia trust meLabda awe havutiii.
Hahahahahaha unataka kunigombanisha na wajumbeeHivi kwa nini hawa wajumbe huko juu was iwe na mawazo kama yako??
Aaaah jmm huu mkate mbona mgumu hivyo?[emoji38]Ningeuona udu** kwenye comments labda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]lakini maneno tu[emoji1787][emoji1787]hapana aise
Habari za muda huu wakuu.
Ni Tumaini langu nyote ni wazima na mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza 👆juu..
Si ndugu bali ni rafiki ambae mnafahamiana muda mrefu..wewe ni mwanamke anakuomba mpange nyumba kubwa muishi wawili mnashare baadhi ya sehemu tu kama vile kitchen,dining room,sitting room tu.
Hivi hii kitu inawezekana kweli na kuendelea kubaki salama😅😅
Comments zenu nitazizingatia😁😁
Naomba kuwasilisha
🧚♀️🧚♀️🧚♀️🧚♀️🥂🥂🥂🥂
HApana mkuu..huo ndo mtazamo wako hamuwezi kugombana
[/QUOTE
Hahahaahhah haya
Dah!Ila mimi akiwa hajanifaa siwezi kabisa kuwa nae hata akinitega never Ila akiwa mtoto wa Dubai mbona mapema tu bila manenoMdogo wangu hadi wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]