Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Haijawahi pata jibu ni nini icho sababu sayansi inadeal na exiperment na exiperment inahitaji vitu tangible
Sasa wewe unamwelezeaje mtu kuhusu nafsi ili aelewe.. kwa uwelewa wako
 
Sasa wewe unamwelezeaje mtu kuhusu nafsi ili aelewe.. kwa uwelewa wako
Nafsi ni energy au kwa jina jingine ni roho na hii ndio hutupa consciousness

Ndio maana wametengeneza roboti but haliwezi fanya kazi lenyewe lazima iwepo command

Sayansi haijawahi pata jibu roho ni nn?
 
Nafsi ni energy au kwa jina jingine ni roho na hii ndio hutupa consciousness

Ndio maana wametengeneza roboti but haliwezi fanya kazi lenyewe lazima iwepo command

Sayansi haijawahi pata jibu roho ni nn?
Consciousness no ishu ya ubongo sio.. kwa maana rahisi nafsi/roho ipo kwa ubongo et..?
 
Wakati unaniuliza hili, jiulize kwanini Mungu hakummaliza Adam na hawa baada ya kumuasi Mola wao.

Ukipata majibu ya haya nichek tuendelee na mjadala
 
Ongeza hizi:
6.Vita baina ya Ukweli na Uongo
7. Vita baina ya Haki na Dhulma
8.Vita ya kijinsia baina ya Me na Ke
 
Wakati unaniuliza hili, jiulize kwanini Mungu hakummaliza Adam na hawa baada ya kumuasi Mola wao.

Ukipata majibu ya haya nichek tuendelee na mjadala
Hata angewaangamiza isingesaidia kitu sababu..source of evil bado ingekuwapo ndio maana amekuwa akiangamiza vizazi na vizazi ila dhambi haziishi ...km vitabu vya dini tunavyosoma vya kweli lucifer alitakiwa amalizwe ndio tatizo lingeisha

Huenda alikuwa na maana yake kutupima imani

But all in all huenda tuliwekewa km coupon ya kuingia peponi huu atakaemshinda kiduniani ndio again ataingina peponi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…