Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Hivi kuna vita kali duniani kama hizi?

Haijawahi pata jibu ni nini icho sababu sayansi inadeal na exiperment na exiperment inahitaji vitu tangible
Sasa wewe unamwelezeaje mtu kuhusu nafsi ili aelewe.. kwa uwelewa wako
 
Sasa wewe unamwelezeaje mtu kuhusu nafsi ili aelewe.. kwa uwelewa wako
Nafsi ni energy au kwa jina jingine ni roho na hii ndio hutupa consciousness

Ndio maana wametengeneza roboti but haliwezi fanya kazi lenyewe lazima iwepo command

Sayansi haijawahi pata jibu roho ni nn?
 
Sasa wewe unamwelezeaje mtu kuhusu nafsi ili aelewe.. kwa uwelewa wako
Screenshot_20230225-133215_Samsung Internet.png
 
Nafsi ni energy au kwa jina jingine ni roho na hii ndio hutupa consciousness

Ndio maana wametengeneza roboti but haliwezi fanya kazi lenyewe lazima iwepo command

Sayansi haijawahi pata jibu roho ni nn?
Consciousness no ishu ya ubongo sio.. kwa maana rahisi nafsi/roho ipo kwa ubongo et..?
 
Labda nikuulize kwanini mungu hakuweza kufix vitu baada ya shetani kuasi hakummaliza shetani lakini amekuwa akiangamiza vizazi ..source yenyewe ikaachwa ...ndio maana mm nikamaliza kusema mungu ni mkubwa na ukubwa wake siku ya kiama ndio utajulikana but saizi bado kuna battle na huu ndio ukweli kwa duniani shetani amekuwa akifanikiwa mara kwa mara ndio maana SODOMA NA KIZAZI CHA NUHU kiliangamizwa
Wakati unaniuliza hili, jiulize kwanini Mungu hakummaliza Adam na hawa baada ya kumuasi Mola wao.

Ukipata majibu ya haya nichek tuendelee na mjadala
 
Habarini za mchana wote tunajua hakuna vita dunian kubwa kama vita kati ya hii
Mungu na shetani

kuachana na hii vita hivi kuna vita ngumu nyingine kupigana kama hizi

1) VITA KATI YA MOYO NA AKILI

2)VITA KATI YA UTAFUTAJI WA PESA NA KUMUABUDU MUUMBA

3)VITA KATI YA UAMINIFU NA PESA?

4)VITA KATI YA PESA NA DHAMBI

5)VITA KATI YA MATUMIZI NA UTUNZAJI WA PESA

Kwa aliyewahi kushinda hizi vita atupe ushuhuda aliewezaje kuzishinda na alitumia mbinu gani?
Ongeza hizi:
6.Vita baina ya Ukweli na Uongo
7. Vita baina ya Haki na Dhulma
8.Vita ya kijinsia baina ya Me na Ke
 
Wakati unaniuliza hili, jiulize kwanini Mungu hakummaliza Adam na hawa baada ya kumuasi Mola wao.

Ukipata majibu ya haya nichek tuendelee na mjadala
Hata angewaangamiza isingesaidia kitu sababu..source of evil bado ingekuwapo ndio maana amekuwa akiangamiza vizazi na vizazi ila dhambi haziishi ...km vitabu vya dini tunavyosoma vya kweli lucifer alitakiwa amalizwe ndio tatizo lingeisha

Huenda alikuwa na maana yake kutupima imani

But all in all huenda tuliwekewa km coupon ya kuingia peponi huu atakaemshinda kiduniani ndio again ataingina peponi
 
Back
Top Bottom