Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa Wasabato (SDA), huwa najiuliza mara kwa mara, hivi hawa watu wapo ?

Kama unawajua Wasabato maarufu waliotamba kwenye sekta yoyote – drop jina hapa!, Na kama unajua kwanini hawaonekani sana – hebu fafanua kidogo.

Michezo - Wawe wachezaji maarufu hasa kutoka Simba / Yanga na Team za ulaya.

Siasa - Vyeo vikubwa Level za mawaziri, spika, vyeo vizito ndani ya chama tawala, n.k.

Biashara - kwa makadirio wawe na net worth kuanzia bilioni 10

System - Majaji wakuu, viongozi wa idara za ulinzi, wakurugenzi wa TRA, BOT, BANDARI, TANAPA, UDSM, UDOM, , n.k.

Sanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
 
Duh, mi najua mtu anaitwa NDACHA tu...! Sijui ni mkenya yule..?

Naye kwenye siasa, sanaa au michezo sijawahi kusikia ila Kubishana bishana dini tu anawezaweza..!
 
Nauliza tu maana nje ya kuwajua wasabato kusali jumamosi sijawahi kuwajua wasabato maarufu,

Michezo - Wawe wachezaji maarufu hasa kutoka Simba / Yanga na Team za ulaya.

Siasa - Vyeo vikubwa Level za mawaziri, spika, vyeo vizito ndani ya chama tawala, n.k.

Biashara - kwa makadirio wawe na net worth kuanzia bilioni 10

System - Majaji wakuu, viongozi wa idara za ulinzi, wakurugenzi wa TRA, BOT, BANDARI, TANAPA, UDSM, UDOM, , n.k.

Sanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
Hao wanangoja kiayama tu hakuna kitu ingine, wanaheabia tu siku😆
 
Makamu mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira ni msabato yule. Mwanamuziki wa kike wa bongo fleva lady jay dee inasemekana ni msabato yule. Ukipekenyuapekenyu utakuta kuna mastaa wa nyanja mbalimbali ni wasabato wapo
 
Hata makumu mwenyekiti wa CHADEMA J.HECHE ni msabato.

Huko kwenye sheria ndio wamejaa haswa, ninawafahamu wawili walio katika level ya juu kabisa.
 
Wapo wengi sana.

Hizi dini zinaendana na sehemu unayotoka.

Wa missionary walioleta usabato walifika mikoa ya kanda ya ziwa na upareni.. hivyo watu wanaotoka hizo sehemu wengi ni wasabato. Ukiona mtu maarufu anatoka huko ana nafasi kubwa ya kuwa msabato pia

Ni ngumu kumkuta mzaramo msabato na pia ni ngumu kumkuta mkurya muislamu.
 
Watakuepo ila vazi la mwanakondoo watakua wanalificha maana hujichanganya sana kwa sehemu ndogo na sisi wadunia
 
Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa Wasabato (SDA), huwa najiuliza mara kwa mara, hivi hawa watu wapo ?

Kama unawajua Wasabato maarufu waliotamba kwenye sekta yoyote – drop jina hapa!, Na kama unajua kwanini hawaonekani sana – hebu fafanua kidogo.

Michezo - Wawe wachezaji maarufu hasa kutoka Simba / Yanga na Team za ulaya.

Siasa - Vyeo vikubwa Level za mawaziri, spika, vyeo vizito ndani ya chama tawala, n.k.

Biashara - kwa makadirio wawe na net worth kuanzia bilioni 10

System - Majaji wakuu, viongozi wa idara za ulinzi, wakurugenzi wa TRA, BOT, BANDARI, TANAPA, UDSM, UDOM, , n.k.

Sanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
Siasa
1. Chacha Heche
2. Andrew Chenge
3. Stephen Wasira

System
1. Peter Noni

Sanaa
1. Lady JD
 
Willian
 
Back
Top Bottom