Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

Wapo wengi sana.

Hizi dini zinaendana na sehemu unayotoka.

Wa missionary walioleta usabato walifika mikoa ya kanda ya ziwa na upareni.. hivyo watu wanaotoka hizo sehemu wengi ni wasabato. Ukiona mtu maarufu anatoka huko ana nafasi kubwa ya kuwa msabato pia

Ni ngumu kumkuta mzaramo msabato na pia ni ngumu kumkuta mkurya muislamu.
mmasai muislam sijawahi kuona, nimeishi umasaini injili inahubiriwa kwa kimasai mpaka kwenye mazizi ya ng'ombe ila sijaona uislam
 
Wapo wengi sana.

Hizi dini zinaendana na sehemu unayotoka.

Wa missionary walioleta usabato walifika mikoa ya kanda ya ziwa na upareni.. hivyo watu wanaotoka hizo sehemu wengi ni wasabato. Ukiona mtu maarufu anatoka huko ana nafasi kubwa ya kuwa msabato pia

Ni ngumu kumkuta mzaramo msabato na pia ni ngumu kumkuta mkurya muislamu.
Wakurya, wazanaki, wajaluo na wajita wengi wanasifika kwa kutoa viongozi kibao idara ya ulinzi lakini wengi huwa wakatoliki, Mfano Sirro alitaka kwenda kusomea Upadre.

Matajiri wa mkoa wa Mara kama kina Gachuma nao ni wakatoliki na Lutheran.

Wapare nao ukiwafuatilia wapo wakatoliki na waluteri wengi tu

Wasabato wengi wanatokea Mara na Upareni lakini kwa makadirio ni asilimia 40 tu katika sehemu hizo, Ni sawa na watalii wengi kuishi Arusha na Dar lakini watu wengi nchini ni watanzania wa asili .
 
Wengi tu Tangu enzi za Nyerere.
Ukitoka nje kidogo Zambia Rais ni Mzee wa kanisa.
 
Back
Top Bottom