watu kibao
JF-Expert Member
- Mar 25, 2025
- 466
- 1,663
This is JF, sehemu tunayojuzana tusiyoyajuaDuh dini ni chukizo baya duniani kweli🤔
Pia na mimi nimekujuza kama ulikua haujui.This is JF, sehemu tunayojuzana tusiyoyajua
Hao wanangoja kiayama tu hakuna kitu ingine, wanaheabia tu siku😆Nauliza tu maana nje ya kuwajua wasabato kusali jumamosi sijawahi kuwajua wasabato maarufu,
Michezo - Wawe wachezaji maarufu hasa kutoka Simba / Yanga na Team za ulaya.
Siasa - Vyeo vikubwa Level za mawaziri, spika, vyeo vizito ndani ya chama tawala, n.k.
Biashara - kwa makadirio wawe na net worth kuanzia bilioni 10
System - Majaji wakuu, viongozi wa idara za ulinzi, wakurugenzi wa TRA, BOT, BANDARI, TANAPA, UDSM, UDOM, , n.k.
Sanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
Lady JaydeeSanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
Wasira - "Gari ni Engine sio body"Makamu mwenyekiti wa CCM Stephen Wasira ni msabato yule. Mwanamuziki wa kike wa bongo fleva lady jay dee inasemekana ni msabato yule. Ukipekenyuapekenyu utakuta kuna mastaa wa nyanja mbalimbali ni wasabato wapo
SiasaSijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa Wasabato (SDA), huwa najiuliza mara kwa mara, hivi hawa watu wapo ?
Kama unawajua Wasabato maarufu waliotamba kwenye sekta yoyote – drop jina hapa!, Na kama unajua kwanini hawaonekani sana – hebu fafanua kidogo.
Michezo - Wawe wachezaji maarufu hasa kutoka Simba / Yanga na Team za ulaya.
Siasa - Vyeo vikubwa Level za mawaziri, spika, vyeo vizito ndani ya chama tawala, n.k.
Biashara - kwa makadirio wawe na net worth kuanzia bilioni 10
System - Majaji wakuu, viongozi wa idara za ulinzi, wakurugenzi wa TRA, BOT, BANDARI, TANAPA, UDSM, UDOM, , n.k.
Sanaa - Msanii, mhekeshaji, muigizaji, content creator ambae yupo at least tano bora kwenye sanaa anayofanya
WillianSijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa Wasabato (SDA), huwa najiuliza mara kwa mara, hivi hawa watu wapo ?