Wapo wengi sana.
Hizi dini zinaendana na sehemu unayotoka.
Wa missionary walioleta usabato walifika mikoa ya kanda ya ziwa na upareni.. hivyo watu wanaotoka hizo sehemu wengi ni wasabato. Ukiona mtu maarufu anatoka huko ana nafasi kubwa ya kuwa msabato pia
Ni ngumu kumkuta mzaramo msabato na pia ni ngumu kumkuta mkurya muislamu.