Hivi kuna watu wapo humu na hawajawahi kabisa kufika jijini Dar es Salaam?

Unasema hivyo? Mwingine hata lami haijui na ana miaka 70+ .
 
Sio kweli,ukifeli juenjoy maisha Dar ujue hujatumia brain yako vizuri,sina hela nyingi kihivyo ila kwa Tanzania Dar ni the best to live ni peponi kabisa kwangu
Kabisa mkuu
 
Mkuu huna hata ka ist used kutoka japani mkuu🤣
 
Ila watu wa dasalama bhana, watakuja kusema ndio umeingia juzi dar kwa ajili ya kurepoti chuo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…