Hivi kuna Wilaya inaipiku Liwale kutotembelewa na Viongozi wa Kitaifa?

Wengine wanakuaga si wakaz wa huko ukifika muda wa vikao vya chama ndio wanaenda na ndio maana wengi wao wanakuaga hawana uchungu napo wanapachukulia km kazin tu
Well said
 
Uchawi was wakazi wa hapo Liwale, ni kulekule walikomchapa moshi mwendazake
 
Hatari sana ,mpeleke wilaya ya Ikungi vijiji kama Mwaru,Mwasenge,Kaugeli etc mahali ambapo mvua ikinyesha kijiji kinakuwa misiwa ,wanafunzi wa upande wa pili wanakuwa likizo
Unalinganisha hiyo hatari unayoisema na wapi? Usiende mbali sana, hivi hapa jijini DSM, mvua ikinyesha milima ya Pugu, wakazi wa Ulongoni wanavukaje mto Msimbazi kutoka Gongo la Mboto Kama sio kubaki kisiwani? Acha kujifanya mjuaji kwenye mikoa ya watu. Hivi umewahi kutoka Mbweni kwenda Kiembeni wakati wa mvua? unavukaje mto Mpiji? Watu wanakuwa kisiwani na mitumbi inahusika wakati rasilimali nyingi za nchi zinabakizwa DSM, halafu unaleta ujuaji kwa wilaya za watu wanaojielewa?
 
Labda huijui singida vijijini wewe
Unaleta habari za kuhadithiwa hapa jamvini, unaonekana hata geography yako ni ndogo sana. Ngoja nikueleza kuwa Wilaya ya Singida Vijijini imepitiwa na barabara za lami za kuelekea mikoa ifuatayo
a. SINGIDA TO ARUSHA
b. SINGIDA TO DODOMA via Manyoni
c. SINGIDA TO NZEGA
d. SINGIDA TO DODOMA via KWA MTORO (gravel road)
Hizi ni zile za TANROADS bado Kuna zile za TARURA
 
Njoo Ngorongopa
 
Mnasema wilaya?
Mkoa wote wa Rukwa hautembelewi na Viongozi.. wote
 
Sasa wilaya ipo 300km kutoka makao makuu ya mkoa waje kufanya nini?

Barabara yenyewe vumbi tena inapitika kiangazi kwa shida. Masika hakufikiki.

Nyie vuneni mbao pori,windeni wanyama.pembe za ndovu. Limeni ufuta,arizeti,korosho..

Tutakutana mkija mjini. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nasikia network za simu mnatumia za msumbiji.

Wilaya inapakana na mikoa mitano na nchi 2
 
Msalimie chief internal auditor nimemleta hapo toka TAWA
 
Toka mwenye Wilaya Afe Mzee KAWAWA imetelekezwa Sijui hata kama ina DC AU DED[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…