Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
aisee mambo ya ndoa matamu mkipendana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama tu jina la msanii amekosea,moja kwa moja hata jina la wimbo amekosea pia
Eheee tupe maexpiriensiaisee mambo ya ndoa matamu mkipendana
Nchangien bas hela ya studio
Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.
Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.
Kama tu jina la msanii amekosea,moja kwa moja hata jina la wimbo amekosea pia