Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

Hivi kuna wimbo mzuri wa mapenzi na mahusiano wa Kiswahili mzuri na wenye ujumbe konki kuliko huu?

Huu wimbo wa Nimekuchagua Wewe - Bob Rudala kwenye harusi yangu kanisani nitawambia wanipigie huu,hata kama wataurudia mara 1000 ni sawa tu.

Huu wimbo ukipata binti ambaye mmpendana kama Romeo na Juliet-unaweza ukadhani hamna kifo.


Mkuu huo wimbo mzuri lakini hakuna zaidi ya huuhapa chini
 
Hakuna kama huo, weka mbali na hawa wasanii wetu
 
Nyota yako—TID
[emoji445][emoji445]
Kama tamaduni zetu ni moja twende nyumbani tukamsabahi mama
Tupate baraka za wazazi na uwajue ndugu zangu



Mitihani yoote nimeshinda ,sasa ni wakati
Penzi letu sisi liwe wazi ,roho yangu inauma
Maumivu sasa basi ,sasa baaaaasi

Niko thabiti nieleweee
Pesa sio mapenzi,pesa sio mapeni[emoji445][emoji445]
 
Back
Top Bottom