Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Hivi kuwa single kwa muda mrefu kunaweza kusababisha mtu kuogopa kufanya mapenzi

Manu 255

Member
Joined
Dec 13, 2024
Posts
32
Reaction score
114
Habar za jioni Wana jf nina Imani ni wazima na hata wale mlio na changamoto za kiafya niwatakie kupata nafuu soon. Mimi ni kijana 28 yrs old sasa na Toka nimesoma sekondari kiukwel nilkuwa school boy TU

Sikujihusisha sana na mapenzi, chuo napo niliyapambania sana haya mapenzi lakini ndioivo nilizidiwa kete na walionipita ujanja kwaio napo sikuwahi kuwa na mpenzi Hadi namaliza . na baada ya hapo nikaingia zangu kitaa na kupata kazi ya kusafiri mikoani mara kwa mara hivyo ilikuwa ngumu kwangu ku-settle sehemu Moja na kuyajenga mahusiono vizuri .

Sasa mwaka Jana nilmpata mwanamke aliyenikubalia kunipa tunda ... kwa mara ya kwanza ..mazee sikuamini ilibidi iyo siku nitafute kisingizio nisiende job niwe geto ili nichakate mbususu na kweli yule manzi akaja na nilkuwa nampenda kupita kiasi sasa Cha kushangaza tulipoanza TU mambo hali yangu ilibadilika na kujikuta naogopa sana na moyo kwenda mbio. Nilijaribu kila namna niamshe dushe ila wapi Hadi huyo demu naye akawa anajaribu kuliamsha dushe ili anivishe condom ila wapi ... daah manzi alinidharau sana na alikasirika kwa muda mrefu Hadi tukaachana.

Daah nilibaki na STRESS sana na kujilaumu .. kwa kushindwa kula kitu ambacho sijala lifetime . nikikumbukag huwa Hadi najikuta nawaogopa Hawa wanawake maana sio kwa Ile temper na Hofu iliyonikamata Ile siku

Mwaka huu Tena nimempata manzi mwingine lakini Hali inajirudia vilevile kama mwanzon na mda wowote naye ataniacha.

Sijajua tatizo Nini au labda mwenzenu nimechelewa kuyajua mapenzi Hadi yanitese hivi .

Wadau kwa mwenye ushauri makini utakaonisaidia naomba anishauri niweze kui-master ngono vizuri kwani ninakonda na DEPRESION ..........#@nawasilisha
 
Siku nyingine ukibahatisha kuipata tena zimua kichwa hata bia mbili tu .
Dah huu ushauri sio mzuri kivile ila hata mimi nachelea kukushauri hivyo hivyo maana hakuna namna

Ila sasa usiwe kichwa panzi, maana kuna wengine bia moja tu wanalala kama ndezi au kupayuka kama kasuku

Hivyo piga walau moja halafu tafuta siku ambayo mpo free na aje mapema ili muanze na activities nyingine kama kupika, kuwatch movies n.k

Muwe pamoja kwa muda kidogo kisha anzisha taratibu mkiwa kwenye harakati hizo

Perfomance ya kwanza, inaweza kuwa mbovu ila usiwaze utaimprove baada ya mda
 
"Maana kuna wengi bia moja tu wanalala kama ndezi au kupayuka kama kasuku"😁😊😊😊
 
Fanya yafuatayo
1. Akifika gheto kaa naye kwanza kwa muda mpige stori umzoee
2. Mwangalie machoni Ili kuondoa uoga.
3. Uoga na tension ikipungua anza kumsogelea.
4. Anza kumshika mkononi na sehemu zingine kabla ya kuvua nguo Ili kuzidi kumzoea na kuodoa uoga
5. Mashine ikisimama ndo uvue nguo kama bado usivue kwani ukivua mashine imesinzia aibu na uoga itaongezeka na kamwe haitosimama
All the best.
 
Usiwe na haraka na usitake wanawake wa short time. Epuka magube gube yatakayokufanya ujione huna control.

Ukipata mwanamke awe binti wa kawaida na awe na muda, kaa nae ndani kwako mzoee. Yeye akuogope wewe kuliko wewe unavyomuogopa.

Ukipata bikra itakuwa safi zaidi ila asiwe mtoto mdogo usije beba katoto tutakufunga.

Mkikaa siku nzima mnakula stori za hapa na pale, anapika mnakula na mkaenda kupumzika ikilala basi achana na wanawake jikite kwenye utumishi au ibada.
 
Anxiety inakutesa na ukitumia pupa kuitibu basi tatizo linakuja kuwa kubwa zaidi!!.
unahitaji kuchukulia hilo tendo kawaida sana!,pili pata mtu utakaekaanae muda mrefu kabla ya tendo yani usikurupuke usimuogope, pata mwanadada muelewa usichukue kurumbembe linaweza kuchangia tatizo likakua.
hiyo pisi utayoipata usiendenae kwa pupa!.
andaaneni taratibu nawe mawazo yako yaondoshwe kwenye kushindwa tamaa zako zielekeze kwenye mwili wa mchuchu wako!, ukifaulu hapa basi umeweza pia usitafute mdada ambae utakuwa unajiuliza huyu namuweza..??
cheki chombo cha wastani tu ili kujiepushia balaa la kujishuku kisaikolojia!.

Dark side...
Ukishindwa kabisa tatizo likawa linajirudia, kama hunywi pombe itakubidi siku ya mchezo dk chache kabla ya mchezo unywe hata konyagi ndogo nusu ama robo!.
 
Nimekusoma mkuu
 
Poa mkuu ... umenisaidia kisaikolojia zaidi ..asante
 
Back
Top Bottom