Mpenda vurugu
Member
- Apr 7, 2024
- 98
- 621
Safi kabisa. Taja namba nikusaidie mtajiMbeya umewasingizia pakubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi kabisa. Taja namba nikusaidie mtajiMbeya umewasingizia pakubwa
Hahaaa kweli mkuu,wanaume na umbea wapi na wapiUzi wa kisenge
UmeniwahiMbeya umewasingizia pakubwa
Kuna nini tena mubebe?makaveli10 babe, hebu njoo hapa kwanza.
kuna ID znachekesha sana humu jukwaani😂😂😂 eti mpenda vurugu 😂😂😂😂dahSafi kabisa. Taja namba nikusaidie mtaji
Wewe wa Mkoa upi Mkuu😄Uzi wa kisenge
Wewe Mkoa upi☺️takwimu unazo? umethibitisha vipi?
unaweza ona ni sawa lakini kusema vitu usivyoweza kuthibitisha kuna gharama yake
Kilimanjaro sameWewe wa Mkoa upi Mkuu😄
Ngoja waje jiandae kwa mvua ya matusiWakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.
1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga
9.Singida
10.Tabora
Ahaa basi wewe siyo mbeaKilimanjaro same
Umechoka kuishi uraiani bossPia na wanaume mashabiki wa Simba mtoa mada umesahau
Kuna mikoa yako miwili hapo!Kuna nini tena mubebe?
Arusha.Wewe Mkoa upi☺️