Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

Hivi kwa nini wanaume wanaotoka hii mikoa ni wambea sana?

Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.

1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga
9.Singida
10.Tabora
Nilitaka nishangae Tabora na Tanga zikosekana.
 
Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.

1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga
9.Singida
10.Tabora
Hiyo namba 9 ilikuwa iwe ndio 1.
 
Back
Top Bottom