Nilitaka nishangae Tabora na Tanga zikosekana.Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.
1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga
9.Singida
10.Tabora
Wapare βWarangi wapale dah
takwimu unazo? umethibitisha vipi?
unaweza ona ni sawa lakini kusema vitu usivyoweza kuthibitisha kuna gharama yake
Mikoa yote ni ya samia suluhu na tanzania yake, mie sina mkoa, namiliki kibanda cha makuti tu na tena ni cha urithi.Kuna mikoa yako miwili hapo!
Hiyo namba 9 ilikuwa iwe ndio 1.Wakuu
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya,nimegundua wanaume kutoka hii mikoa ni wambea sana hasa maofisini.
1.Dar es salaam
2.Pwani
3.Morogoro
4.Iringa
5.Mbeya
6.Mtwara
7.Lindi
8.Tanga
9.Singida
10.Tabora
π€¦πΏββοΈπ€¦πΏββοΈπ€¦πΏββοΈToa mbeya kmmmk zako
Wacha bwana!!!Mikoa yote ni ya samia suluhu na tanzania yake, mie sina mkoa, namiliki kibanda cha makuti tu na tena ni cha urithi.
Kabisa, na kibanda chenyewe cha makuti nataka nikihonge, aliyeniachia urithi kaishakufa nami nitakufa nitakiacha., nilizaliwa mtupu sina sh 10, nitazikwa siendi hata na kipande cha bati.Wacha bwana!!!