Hivi kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa kisheria kwa mtu juu ya miaka 18?

Hivi kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa kisheria kwa mtu juu ya miaka 18?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.

Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮
1788880943879.jpg
 
wakili Peter Madeleka, amesema atakwenda mahakamani kumetetea binti mmoja aliyejulikana kwa jjina la Sophia ambaye amaekamatwa na Jeshi la Polisi kwa kumtongoza aliyekuwa Mkuu wa Mkoa Tabora, Poul Chacha.

Madeleka amesema:
"Nitakwenda mahakamani kule Tabora kumtetea Sophia kwa kuwa kwa muujibu wa sheria siyo jinai kwa Sophia kumtongoza mkuu wa mkoa.
1788881791105.jpg
 
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.

Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮View attachment 3665972
Hii haibu kwamba kuu hana nguvu za kiume , yani pisi kali imekutonza yenyewe why ifanyia hivyo mkuu?
 
Back
Top Bottom