Kambi ya Kalito
Member
- May 21, 2026
- 86
- 191
Kwani bado ni Mkuu wa Mkoa ???Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.
Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮View attachment 3665972