Hivi kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa kisheria kwa mtu juu ya miaka 18?

Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.

Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮View attachment 3665972
Yeye angemsibu tuu Kwa Hekima, ahsante Sana Nina mke, full top!
 
Hakika jamaa anatia mashaka sana, kwa mwanaume aliyekamilika hiyo ilikuwa ni opportunity nzuri kabisa kama ni kweli Sophia alifanya hivyo.
 
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.

Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮View attachment 3665972
Huenda huyu jamaa alitaka atongozwe na Mwanaume mwenzake, usiwaamini sana CCM. Huenda jamaa ni mchicha mwitu
 
Angekuwa pisi kali mheshimiwa angejimegea tu kisela
Weee huyu sasa ndio anakuaga mtamu balaaaa, pure kienyeji, hana vipodozi wala fangasi huyu. Hana mapele ya kunyoa nyoa kule kwa bibi, hizo zinazoitwa pisikali ukiivua nguo unaweza kufa kwa dakika.

Hio kitu ni OG hata smell yake kule ni ile OG dadeeeeki. Huenda Mheshimiwa ni mchicha mwitu alitamani atongozwe na kidume chenzie
 
Kuna wale wa malesi wigi high heels makope ka fyagio na hekaheka za mjini kama zote! Huyo mbona yuko kawaida tu labda ndiomaana kamfanyia hivyo!
Mshenzi tu huyo mwanaume
Uliona wapi mwavsume anatongozwa analalamika??kwani majibu si mawili 2, humtaki mwambie muache simple!

Tabia za watt wanaobalehe hizo

Eeh nalog off...
Twende tukamalizie maombi mdogo angu maisha yenyewe haya😄
 
Labda anataka atrend maana mimi simjui kwanza ndio namuona😂
Eeh nalog off...
Twende tukamalizie maombi mdogo angu maisha yenyewe haya😄
Kwakweli, maadui ni wengi mno🙌🏾
 
Weee huyu sasa ndio anakuaga mtamu balaaaa, pure kienyeji, hana vipodozi wala fangasi huyu. Hana mapele ya kunyoa nyoa kule kwa bibi, hizo zinazoitwa pisikali ukiivua nguo unaweza kufa kwa dakika.

Hio kitu ni OG hata smell yake kule ni ile OG dadeeeeki. Huenda Mheshimiwa ni mchicha mwitu alitamani atongozwe na kidume chenzie
Muheshimiwa kaangalia kwa jicho la juu juu ndo maana hajampenda
 
Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.

Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.🚮View attachment 3665972
Dah!

Nimekaa kimya karibu dakika tatu nzima nikitafuta maneno ya kuandika kuhusu tukio hili, sikuyapata ya kuridhisha.
Naona niseme tu kwamba pengine hizi ni "ishara/dalili" zinazoashiria jambo la kipekee kuhusu watawala hawa

Ni dalili za nyakatiu kuelekea kwenye kilele cha tukio zito litakalowahusu wakubwa hawa waliolewa madaraka na kupoteza akili.
 
Back
Top Bottom