Sheria inasema zaidi ya 18 ni mtu mzima, hivyo sio kosa.Hakika jamaa ni majinga kiwango cha sgr au wanafanya manipulation
Hawa wapumbavu hawana kazi za kufanya ndiyo maana wanaishia kufanya huu ujinga. Wameingia kwenye madaraka kwa kutumia damu za watu, wote wanaongea kama vichaa.Hakika jamaa ni majinga kiwango cha sgr au wanafanya manipulation
Hii haibu kwamba kuu hana nguvu za kiume , yani pisi kali imekutonza yenyewe why ifanyia hivyo mkuu?Ukute huyu jamaa alikuwa anamtaka binti wa watu, binti akakataa sasa kaamua kumpa kesi.
Halafu tangu lini kumtongoza mtu likawa ni kosa kisheria yani hawa Viongozi waliojiweka madarakani baada ya kumwaga damu za watu Oktoba 29 ni kama wote akili zimeruka.๐ฎView attachment 3665972