Hivi kwani kutongoza/kutongozwa ni kosa kisheria kwa mtu juu ya miaka 18?

Huyu mkuu wa mkoa kichwa chake kina shida anajichoresha sana
 
SASA HAPO KAMKOMOA NANI SASA, HAJUI YEY MWENYEW MZEE ANAJISHUSHIA HESHIMA YAKE.
 
Serikali ikiamua kukutafutia kosa hawashindwi

Huyu anaweza akapewa kesi ya Cyber Crime aka matumizi mabaya ya simu!
 
itakuwa ndio bahati imeliangukia kwa mara ya kwanza
Basi limeona lijitangaze tujue.

Kama kutongozwa limtu linaenda mahakamani.
Kero za wananchi mtu wa aina hii atatatua?
Hii nchi vichaa ndio wanapewa nyadhifa.
Jitu linasumbuliwa na jambo dogo kama hilo,Mkoa atqongozaje?
 
Sema kuna watu majasiri unaanzaje kuweka mzaa na watu kwenye mamlaka isitoshe hukute mkuu wa mkoa ana mke unaanzaje kupiga mtongozo anajua athari ambayo angeileta ndani ya familia ya mkuu wa mkoa, awekwe ndani tu ili akili zimrudi
 
Huyo mkuu wa mkoa kama sio mndali sijui...!!
Maana hata msukuma sio zuzu kiasi hicho..
 
ALERT🚨🚨
Kuweka HADHARANI taarifa ya KUTONGOZWA ambayo ni FARAGHA, ni kuthibitisha UWEZO MDOGO WA KUTUNZA SIRI ZA NCHI.

Kimaumbile, MWANAUME ameumbwa kuwa JASIRI hata ANAPOTONGOZWA. Siyo SIFA NZURI kwa Kiongozi KUKIMBILIA POLISI kwa jambo dogo tu la KUTONGOZWA.😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…