Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?


Kamwe sitakubali kuhongwa UBWABWA na maharage
 

kwanini chadema inapendwa na wakristu na kaskazini sana...?

kwanini majority pro chadema ni anti muslims..?


 
Kamwe sitakubali kuhongwa UBWABWA na maharage
wapinzani tunatakiwa tuwe kitu kimoja na sio kubaguana. ndo maana leo naichukia chadema ya wahafidhina real kutoka moyoni kwa dhambi hii waliyoifanya. popote pale duniani ubaguzi haujawahi leta tija zaidi ya mifarakano.
na tatizo lenu kubwa mnajiona sana kuwa nyie ndo kila kitu, sasa ni nani huyo mjinga/-------- anayeweza kuwaamini. hebu jiulize, kusafirisha watu wakulinda kura kutoka arusha mpaka iringa. hivi wanairinga wanajisikiaje? kama hata hamuwaamini wao wenyewe kulinda kura walizopiga wao watawaamini vipi nyie msiowaamini? fikiria na kwa pamoja tukatae ubaguzi.
 


kwanini chadema inapendwa na wakristu na kaskazini sana...?

kwanini majority pro chadema ni anti muslims..?



Kwa propaganda hizi utavuna kura za waislam, mmezoea kuwatumia waislam kwa staili hizi, mnawaona kama toilet paper
 
Hata sehemu.zenye maendeleo yameletwa na ccm kwa hiyo ukitaka kuendelea chagua ccm.
 

tangu lini uliwahi kuwa mpinzani wewe ?
 
Umasikini wa wananchi , elimu duni , ujinga, uoga , unyonge ,pamoja na njaa ya kufa mtu ndiyo mtaji mkuu wa ccm kuendelea kubaki madarakani , kuna tetesi kwamba ccm itaendelea kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwa masikini zaidi ili waendelee kuwanunua kwa wali kitumbo na maharage ya mbeya ! Poor ccm ! Tutahakikisha wananchi wanafungua vichwa vyao na wanawakataa vibaya sana , MTASHANGAA !
 
Vyama Vya Upinzani Havijulikani Kwenye Maeneo Ya Vijijini,wamejikita sana mjini tena kwenye baadhi ya mikoa,upinzani unatakiwa kujenga vyama vyao vijijini badala ya kuonekana nyakati za uchaguzi tuu
 
tangu lini uliwahi kuwa mpinzani wewe ?
sijawahi kuwa ccm ila sijafikiria kabisa kuwa chadema wahafidhina. kwa sababu nina akili na siwezi kuburuzwa kama nyie misukule ya kibavicha. nadhani umenisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…