Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

tangu mfumo wa vya vingi uaze tz CCM haijawahi kupata hata diwani PEMBA..........chezea wapemba wewe....ni watu wajanja werebu tena wanatembea hawwezi kuwa wajinga wa kuuza kura kwa wali na kofia...na
katika mchakato wa katiba wao watazuiya kuchakachuliwa maoni ya wananchi kwenye bunge..MAANA CCM HAWANA 2/3 YA WAJUMBE ZANZIBAR KUPITISHA UTUMBO WAO.......wapemba na wachanga mwendo mdundooo
 

Duh! Wapemba ni noma !
 
Nadhani kati ya sababu ni MIJADALA KAMA HII inayoendelea, tunawatusi, tunawakejeli, tunawadharau, tunawashutumu, na hatutoi suluhisho kwao ...... matusi yetu kwao, kejeli zetu kwao, dharau zetu kwao .....wao hutoa majibu kwenye sanduku la kura maana ndipo pekee wanapoweza kupaza sauti zao na kusikika...!
Vilevike nipendekeze jambo moja, ifike wakati tuache kuwadharau (japo pengine huonekana ni hali halisi) na kuonyesha tupo pamoja nao ktk shida zao ....tufanye kwa vitendo na si maneno matupu, .... katika "say" wilaya ama tarafa nzima ambayo maendeleo ni duni sisi tushiriki kujenga japo nyumba moja tu ya mwalimu ama daktari kweli wataona tupo pamoja nao.....
Ila tukibaki na hedikofta zetu na magari mapana yaliyoandikwa KUB katu asilani kura zao tutazisikia redioni
 

We msukule!
Elimu sio KABILA! Bali ni taaluma anayoipata mwanadamu au mnyama ambayo husababisha mienendo ya maisha yake kubadilika na kuwa ni bora zaidi!

Sasa km wewe unajiita msomi halafu bado UNAKUNYWA VINYESI ktk sherehe zenu, Hio elimu yako INA FAIDA GANI!??

Na huna haja ya kutafuta takwimu za mafundi viatu!
We njoo mjini uangalir mwenyewe, mafunfi viatu asilimia 99% ni WACHAGA!
 

Siyo kwamba wanaipenda CCM, ukweli ni kwamba hawajui chakufanya wanbadhani kwamba rais wa nchi ni nyerere tu na hivyo chama cha nyerere ndicho chama pekee wanachokijua. Ukweli kwamba hawana elimu, wanadanganyika kirahisi sana, wanachohitaji ni ukombozi wa fikra. Wamefanywa watumwa na CCM hivyo nivingumu kujitambua bila kusaidiwa kuujua ukweli. Saa ya ukombazi ni sasa. Tutoe elimu wataelewa tu.
 

tetesi zinadai ccm imepania wananchi hasa wa vijijini waendelee kuwa masikini na mbumbumbu ili WAENDELEE KUWABURUZA !
 

nimekudharau sana .
 
Undeveloped mind is always uncounscience mind.....
 
kofia, tshirt,kanga, ubwabwa na usafiri wa kukupeleka na kukurudisha kwenye mikutano BUREEEEEEEE!
 
ccm inapendw vijijin sbb ku n rushwa.vjjn wanarubunika navitu vidogo km chakula tshrst kofia pombe n sukari.
 
Wakati mwingine njaa inadumaza ubongo wa mtu, na wakati mwingine mtu awezi kujiamini kwa hiyo maccm wataakikisha wanaendelea kutawa kwa kutoondoa umadikini
 
We ----! nani kasema elimu ni kabila? Kuwa kama mtu aliyesoma kidogo sio unaropoka ropoka hovyo kama umekunywa pombe ya sherehe. Sijaona watu wakinywa vinyesi mimi, kinachonyweka ni kinywaji sio kinyesi usinipake ukilaza wako mimi. Halafu huna hoja ya msingi zaidi ya chuki za kikabila. Wewe ni kilaza na janga kwa taifa. Kiswahili chenyewe hujui, embu ona ulivyobofoa huko juu. Mi hata sikuelewi unachomaanisha, kajipange upya labda naweza nikakuelewa japo inaonesha una ufinyu wa mawazo.
 

Utaelewa tu! Tulizana upewe darasa.
Hata mke siku ya kwanza huwa anapata tabu sana kwa mumewe!

Wanywa vinyesi huko Tz kwa kisingizio cha mila ni WACHAGA, WAKURYA na Washashi.
Na km wewe unajiita msomi! Basi hio elimu yako ya kunywa vinyesi itakudhuru!
 
Its obvious you are out of your mind. Mi nilisema CCM wanaichukia mikoa ya kaskazini, ila wewe umeelekea moja kwa moja kuwashambulia wachaga mbaya zaidi ukatumbukiza masuala ya kunywa vinyesi. Upo negative sana mkuu, sio kitu kizuri hata kidogo kuwa negative. Unashindwa kuelewa utamaduni wa mtu ulikuwepo hata kabla ya hii elimu ya kisasa na huu utamaduni wa kizungu unaoupigia chapuo. Sio kosa lako, wewe ni mmoja wa watu wanaoponda tamaduni za kiafrika. Penginepo kama unaishi Afrika hii hii ingekua vema ukahamia ulaya. Halafu unapoongelea ukabila na tamaduni za watu lazima uelewe historia kwanza sio kuanza kuropoka ropoka tu, unafikiri chuki za kikabila ulizonazo na kejeli zitaijenga familia yako na taifa lako? Look at you Mr. saa nyingine midomo tuliyopewa sio kwa ajili ya kuongea unachokitaka. Unapoongea uwe unaangalia na jamii inayokuzunguka. Nice time.
 

There is an old saying which says " Education brings change in behavior……"

We kama unajiita msomi halafu bado unafuata mila chafu zinazoleta madhara ki afya! Basi hio elimu yako ni bure!
Huwezi kuita desturi zenye madhara ktk jamii (MILA)!

Na hii sio kusifia au kutukuza elimu za kizungu!
We mtu mzima ndani ya karne ya 21 bado unakunywa kinyesi cha mnyama kilicho changanywa na damu!!?
Duhh!
Mkuu inabidi ubadilike kabla ya kuja kuugua maradhi yasiojulikana.
 
Na mimi nashkuru kwa kudharauliwa na fundi viatu!

hivi wewe unayemdharau FUNDI viatu una ajira gani hasa hata ufikie hatua ya kumdharau Huyu unayemwita FUNDI viatu? dharau nyingine hazifai hata kidogo hata kama una kazi nzuri kiasi gani kwa sababu wengine kwa kazi hiyo wanatunza na kusomesha familia Zao kwani wewe umewasaidia nini? Mimi mwandishi Nina degree moja ya B.A.EDN lakini Katu siwezi kumdharau FUNDI viatu kwa Kuwa hata kiatu changu kikipata hitirafu kidogo huwa nampa FUNDI.acha dharau ndugu yangu dunia ni tambara bovu ipo Siku hutakuwa hiyo ulivyo na utazikwa na Hao unaowadharau hata sanda yako watachanga michango hao unaowadharau.
 

Haya ndio matatizo ya kudandia treni kwa mbele.

Na aliyekwambia mi nawadharau mafundi viatu ni nani!?
Au macho yako yana matatizo.

Mi nimesema kuwa mafundi viatu wengi mjini ni Wachaga!
Halafu we unakuja na maneno yako mabofu!
soma uelewe kijana sio kukurupuja tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…