Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?


NGUZO KUU ZA CCM NI UMASIKINI , UJINGA , UOGA , VITISHO na RUSHWA .
 

mwaka gani wewe uliwahi kuwa mpinzani ?
 
mfano ulio hai ni mkoa wa TABORA ni ccm tupu kuanzia mwenyekiti wa kijiji had mkuu wa mkoa.
Ni moja ya mikoa duni kabisa nchini.
 


ukishaona hivyo ujue, watanzania wanang'amua mambo kwa kuwa tu, Tanzania hakuna chama mbadala chenye sera nzuri, ubunifu wa mipango, uzalendo na utu kama CCM. TUKIBADILISHE CHAMA KWA KUINGIZA YALE MAZURI TUYATAKAYO BADALA YA KUKIKIMBIA NA kuelekea Katika SACOSES kama Chadema.
:flypig:
 
mimi ni mpinzani hata kabla mimba yako haijatungwa tumboni mwa mama yako.

jf ni raha sana ! Maana unaweza kumtukana hata bosi wa wazazi wako , halafu cha kushangaza , pamoja na boss kujua katukanwa bado ataendelea kuwalipa mshahara wafanyakazi wake bila kinyongo !
 

hakuna sehemu yoyote walipo wenye akili ambapo ccm inakubalika , fanya utafiti !
 
mbeya mjini, mwanza mjini, kawe, arusha mjini, moshi mjini, iringa mjini.....aisee ni kweli palipo endelea sana ccm marufuku.
 
Nikauli za kijinga unaposema CCM inapendwa sehemu za watu wajinga,hiv kuna kanseli,manispaa na majiji zaidi ya 365 TZ , zinazoongozwa na upinzan azifiki 9.basi hata kwenu huko Mikoa ya KILIMANJARO ,ARUSHA na MANYARA ni wajinga,madiwani na WABUNGE wengi ni CCM,na kura za URAISI aliongoza JK.UBAGUZI na UKANDA noma sana.
 

BADALA YA KUTOA MAPOVU , FANYA Utafiti kidogo , MIMI NI MKAZI WA TANDIKA MWEMBEYANGA , MANISPAA YA TEMEKE INAONGOZWA NA CCM KWA ASILIMIA 100 , JAPO KAZI KUBWA YA MADIWANI HAO NI KUUZA VIWANJA , VIWE VYA WAZI AU HATA NYUMBA ZA WATU ( KURASINI NI MFANO ) AMA VYA MIRADI ! ANGALIA AINA YA WAKAZI WA WILAYA HII , WENGI NI MBUMBUMBU ULIMWENGU UKO HUKU !
 
mbeya mjini, mwanza mjini, kawe, arusha mjini, moshi mjini, iringa mjini.....aisee ni kweli palipo endelea sana ccm marufuku.

na hasa pale ambapo watu wake wameelimika , maana UMASIKINI NA UJINGA NDIYO NGUZO KUU YA CCM !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…