Hivi kwanini CCM huwa wanapendwa sehemu zisizokuwa na maendeleo?

Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

NGUZO KUU ZA CCM NI UMASIKINI , UJINGA , UOGA , VITISHO na RUSHWA .
 
200361_119661388109197_100001960098301_149674_5983661_n.jpg

mkuu wanauza nini hao ?
 
wapinzani tunatakiwa tuwe kitu kimoja na sio kubaguana. Ndo maana leo naichukia chadema ya wahafidhina real kutoka moyoni kwa dhambi hii waliyoifanya. Popote pale duniani ubaguzi haujawahi leta tija zaidi ya mifarakano.
Na tatizo lenu kubwa mnajiona sana kuwa nyie ndo kila kitu, sasa ni nani huyo mjinga/-------- anayeweza kuwaamini. Hebu jiulize, kusafirisha watu wakulinda kura kutoka arusha mpaka iringa. Hivi wanairinga wanajisikiaje? Kama hata hamuwaamini wao wenyewe kulinda kura walizopiga wao watawaamini vipi nyie msiowaamini? Fikiria na kwa pamoja tukatae ubaguzi.

mwaka gani wewe uliwahi kuwa mpinzani ?
 
mfano ulio hai ni mkoa wa TABORA ni ccm tupu kuanzia mwenyekiti wa kijiji had mkuu wa mkoa.
Ni moja ya mikoa duni kabisa nchini.
 
Ndugu zangu naomba kuuliza ni kwanini maeneo mengi hasa vijijini wanaipenda sana ccm ilhali maeneo yanayowazunguka ni maskini wa kutupwa mliotembea mikoani nadhani hali halisi mnaijua yaani kuna maeneo kuanzia tuapate uhuru maji ya bomba hawajawahi kuyaona wala kuyanywa umeme ndio kabisaaa mbingu na ardhi ukienda kwenye huduma za afya ndio usiongee tukija kwenye elimu watu wanasomea chini ya mbuyu au kwa kifupi elimu sio lazima lakini hawa watu wanaipenda ccm balaa ni nini kinachowasukuma kuwa wakereketwa namna hii au ndio kutojitambua?

ukishaona hivyo ujue, watanzania wanang'amua mambo kwa kuwa tu, Tanzania hakuna chama mbadala chenye sera nzuri, ubunifu wa mipango, uzalendo na utu kama CCM. TUKIBADILISHE CHAMA KWA KUINGIZA YALE MAZURI TUYATAKAYO BADALA YA KUKIKIMBIA NA kuelekea Katika SACOSES kama Chadema.
:flypig:
 
mimi ni mpinzani hata kabla mimba yako haijatungwa tumboni mwa mama yako.

jf ni raha sana ! Maana unaweza kumtukana hata bosi wa wazazi wako , halafu cha kushangaza , pamoja na boss kujua katukanwa bado ataendelea kuwalipa mshahara wafanyakazi wake bila kinyongo !
 
ukishaona hivyo ujue, watanzania wanang'amua mambo kwa kuwa tu, Tanzania hakuna chama mbadala chenye sera nzuri, ubunifu wa mipango, uzalendo na utu kama CCM. TUKIBADILISHE CHAMA KWA KUINGIZA YALE MAZURI TUYATAKAYO BADALA YA KUKIKIMBIA NA kuelekea Katika SACOSES kama Chadema.
:flypig:

hakuna sehemu yoyote walipo wenye akili ambapo ccm inakubalika , fanya utafiti !
 
mbeya mjini, mwanza mjini, kawe, arusha mjini, moshi mjini, iringa mjini.....aisee ni kweli palipo endelea sana ccm marufuku.
 
Nikauli za kijinga unaposema CCM inapendwa sehemu za watu wajinga,hiv kuna kanseli,manispaa na majiji zaidi ya 365 TZ , zinazoongozwa na upinzan azifiki 9.basi hata kwenu huko Mikoa ya KILIMANJARO ,ARUSHA na MANYARA ni wajinga,madiwani na WABUNGE wengi ni CCM,na kura za URAISI aliongoza JK.UBAGUZI na UKANDA noma sana.
 
BADALA YA KUTOA MAPOVU , FANYA Utafiti kidogo , MIMI NI MKAZI WA TANDIKA MWEMBEYANGA , MANISPAA YA TEMEKE INAONGOZWA NA CCM KWA ASILIMIA 100 , JAPO KAZI KUBWA YA MADIWANI HAO NI KUUZA VIWANJA , VIWE VYA WAZI AU HATA NYUMBA ZA WATU ( KURASINI NI MFANO ) AMA VYA MIRADI ! ANGALIA AINA YA WAKAZI WA WILAYA HII , WENGI NI MBUMBUMBU ULIMWENGU UKO HUKU !
 
mbeya mjini, mwanza mjini, kawe, arusha mjini, moshi mjini, iringa mjini.....aisee ni kweli palipo endelea sana ccm marufuku.

na hasa pale ambapo watu wake wameelimika , maana UMASIKINI NA UJINGA NDIYO NGUZO KUU YA CCM !
 
Back
Top Bottom