Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Ukisoma majarida au kufuatilia historia za zamani huko Duniani, inasemekena kuna viumbe vilitembelea Dunia toka Sayari nyingine vinaitwa sijui alien, vikatili... hv huyu sio mmoja wao kweli alibakia huku?!!!
Kuna uwezekano mkubwa alliens wakawa viumbe wa amani.

Duniani tunajazwa ujinga kwamba ukiwa na uwezo mkubwa na nguvu nyingi basi kinachofuata ni kuwatumia na kuwaonea wanyonge. Ni kama tatizo la uonevu/bullying huko nje.

Lakini wataalamu wa saikolojia wanakuambia bullying ni zao la kujiona dhaifu bado hivyo unatafuta mbinu za kujithibitisha. Inferiority complex at play still.

Turudi kwenye alliens; kama tunaaminishwa kuwa ni wenye uwezo mkubwa na wamejitosheleza sasa kivipi waje kutuonea kwa ukatili? Mi naamini kile wanakisemaga wao wenyewe alliens 'We come in peace'. Wanakuja kufanya mambo makubwa ya kuisaidia na kuisongesha mbele zaidi dunia na ndiyo lengo kuu. Maana uwezo wanao hawahitaji kujithibitisha.

Mawazo ya walio tofauti na sisi wanajaribu kutuua ndiyo yalipelekea vita zisizoisha zamani.

Greatness = Goodness ndiyo maana utaskia muislam anasema God is great na mkristu anasema God is good. Wote wanasema kitu kimoja kilekile.
 
Nani aende jehanamu au peponi, ni mamlaka yake Mungu wetu, na hakuna ajuaye nani ataenda wapi.
Uamuzi wa ukifa unaenda mbinguni au peponi sio uamuzi wa Mungu, wala sio mamlaka ya Mungu, mamlaka ya Mungu ni kukuumba na kifo!. Baada ya kuumbwa Mungu ameelekeza uishije, ukiishi jinsi ile Mungu ameelekeza kwa kumfuata Mungu na kutenda mema, utaingia peponi, ukiishi kwa kufuata ya shetani, utamfuata shetani!. Hivyo uamuzi wa unakwenda wapi baada ya kifo, uko kwako mwenyewe na sio kwa Mungu. Hivyo kinachokuingiza mbinguni ni matendo yako.

Ukiondoa wale watakaingia mbinguni kwa matendo yao, kuna baadhi ya watu ambao wataingia mbinguni kwa neema tuu, na sio kwa matendo, hivyo JPM yuko peponi. Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Punguza usukuma weye!Kwani kila unayejibizana naye unadhani tu atakuwa na jinsi kubeba mimba kama aliyekuzaa?Kuwa mvumilivu upigwe psychosis destructions hadi uombe michembe ubugie.
Kwa coment ninazo ziona humu inaonesha kabisa kichwani mmejaza ubongo ambao hauna faida kutwa nzima kujadili watu badala ya maswala yaliopo na jinsi ya kufika mbele zaidi Magufuli kapita je kunakitu amekuzuia wewe kufikia ndoto zako acheni utoto wtz wenzetu wanafikiria mambo makubwa sisi kutwa nzima kumtukana kiongozi wa nchi yetu harafu mamla ziko kimya hii inafikirisha saaaana kuamini nani wako nyuma ya mradi huu
 
Namaanisha kuwa uvumilivu wa maovu ya Jiwe ungefika ukingoni haraka sana kuliko uvumilivu wa maovu ya ccm. Rais kuua raia wako unadhani Watanzania wamgevumilia mpaka lini?
Ivi hao raia aliowauwa wataje Ili tusikotike wote
 
Unaonaje kama ukifa kidogo?Blah blah blah!Ungana na hao wanaowaza uyatakayo.Peremende!
 
Hitler mpaka leo ana-trend na kila dictator aliyefanya madhila makubwa katika nchi yake huwa ana-trend, ni vizuri ili kuwa makini next time kosa lisirudiwe.
Tumechoka na upuuzi wenu Hitler labda anatrend nyumbani kwenu
Unaongea ujinga Kila siku Ili uharalishe ujinga wako kwa kumtaja huyo Hitler wako fanyeni kazi
 
Pumzika kwa aman rais wangu
 
So pesa za wahanga inabidi serikali iziibe kwa sababu hakuna serikali duniani inayojengea watu nyumba. Samahani ila wew ni punguani
 
Kama kudhulumu pesa za watu, kuteka raia, kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kufukuza watu kazi kwa visasi ndo mambo makubwa basi Mama Samia hawezi kumzidi Magu.

alimdhurumu nani? alimfukuza nani? alimteka nani?
 
So pesa za wahanga inabidi serikali iziibe kwa sababu hakuna serikali duniani inayojengea watu nyumba. Samahani ila wew ni punguani

Kungekuwa hakuna biashara ya bima ya makazi duniani kama serikali inawajibika kwenye natural disasters kuwajengea nyumba au kufanya repairs on the aftermath.

Sikiliza hiyo clip vizuri nyumba karibu 800 zilibomoka na 1200 zenye nyufa. Hiyo michango aikufika ata billioni 1, umjengee nani umwache nani kwa mchango huo.

Halikadhalika serikali kwa wajibu wake ilitimiza upande wake kwenye kuokoa watu, kutoa matibabu ya bure kwa wenye bima na wasio na bima. Ilipeleka madaktari bingwa wa ziada kutoka mikoa mengine na kufikisha vifaa vya dharura including chakula, magodoro na michango mingine, ilishiriki kuwatafutia watu makazi ya muda and so forth.

Kuna shule ziliaribika ambazo serikali ilikarabati, barabara na infrastructure zingine ambazo ni jukumu lao.

Hiyo speech ya Magufuli ilikuwa ni kama mwezi mmoja au mitatu baadae akawaambia ukweli kama kuna watu wanasubiri nyumba za kujengewa hazipo au unasibiri chakula cha serikali wakati mvua zinanyesha utasubiri sana.

Lakini sio kwamba awakutimiza wajibu wao, ata nchi za wenzetu hasa zenye maeneo ya wildfire moto ukiondoka na nyumba yako serikali itatenga jengo la muda la kuhifadhi watu. Ila ujue hiyo ni temporary solution baada ya hapo ni wewe na insurance yako, huna nenda shelter (wakusaidie) vinginevyo you are homeless huo ndio uhalisia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…