macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Tofautisha hapa ubinadamu na utu Vs unyama na ukatili.
Bora uwe mkatili kuliko kuwa mnyama
Pole. Unaishi dunia yako ya kipekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofautisha hapa ubinadamu na utu Vs unyama na ukatili.
Bora uwe mkatili kuliko kuwa mnyama
Kuna uwezekano mkubwa alliens wakawa viumbe wa amani.Ukisoma majarida au kufuatilia historia za zamani huko Duniani, inasemekena kuna viumbe vilitembelea Dunia toka Sayari nyingine vinaitwa sijui alien, vikatili... hv huyu sio mmoja wao kweli alibakia huku?!!!
Uamuzi wa ukifa unaenda mbinguni au peponi sio uamuzi wa Mungu, wala sio mamlaka ya Mungu, mamlaka ya Mungu ni kukuumba na kifo!. Baada ya kuumbwa Mungu ameelekeza uishije, ukiishi jinsi ile Mungu ameelekeza kwa kumfuata Mungu na kutenda mema, utaingia peponi, ukiishi kwa kufuata ya shetani, utamfuata shetani!. Hivyo uamuzi wa unakwenda wapi baada ya kifo, uko kwako mwenyewe na sio kwa Mungu. Hivyo kinachokuingiza mbinguni ni matendo yako.Nani aende jehanamu au peponi, ni mamlaka yake Mungu wetu, na hakuna ajuaye nani ataenda wapi.
Kwa coment ninazo ziona humu inaonesha kabisa kichwani mmejaza ubongo ambao hauna faida kutwa nzima kujadili watu badala ya maswala yaliopo na jinsi ya kufika mbele zaidi Magufuli kapita je kunakitu amekuzuia wewe kufikia ndoto zako acheni utoto wtz wenzetu wanafikiria mambo makubwa sisi kutwa nzima kumtukana kiongozi wa nchi yetu harafu mamla ziko kimya hii inafikirisha saaaana kuamini nani wako nyuma ya mradi huuPunguza usukuma weye!Kwani kila unayejibizana naye unadhani tu atakuwa na jinsi kubeba mimba kama aliyekuzaa?Kuwa mvumilivu upigwe psychosis destructions hadi uombe michembe ubugie.
Ivi hao raia aliowauwa wataje Ili tusikotike woteNamaanisha kuwa uvumilivu wa maovu ya Jiwe ungefika ukingoni haraka sana kuliko uvumilivu wa maovu ya ccm. Rais kuua raia wako unadhani Watanzania wamgevumilia mpaka lini?
Unaonaje kama ukifa kidogo?Blah blah blah!Ungana na hao wanaowaza uyatakayo.Peremende!Kwa coment ninazo ziona humu inaonesha kabisa kichwani mmejaza ubongo ambao hauna faida kutwa nzima kujadili watu badala ya maswala yaliopo na jinsi ya kufika mbele zaidi Magufuli kapita je kunakitu amekuzuia wewe kufikia ndoto zako acheni utoto wtz wenzetu wanafikiria mambo makubwa sisi kutwa nzima kumtukana kiongozi wa nchi yetu harafu mamla ziko kimya hii inafikirisha saaaana kuamini nani wako nyuma ya mradi huu
Tumechoka na upuuzi wenu Hitler labda anatrend nyumbani kwenuHitler mpaka leo ana-trend na kila dictator aliyefanya madhila makubwa katika nchi yake huwa ana-trend, ni vizuri ili kuwa makini next time kosa lisirudiwe.
Nani mwizi kumshinda Jiwe?
Kuwa mkali ni jambo mojaTena Tanzania inatakiwa aje kiongozi mkali kama Hitler au zaidi yake
Ova
Pumzika kwa aman rais wanguKizuri hakikosi kasoro, napengine hujui hata undani wa jambo lenyewe lilikuwaje.
Acheni kuokoteza visababu uchwara Ilimradi ionekane na wewe unapambana na marehemu.
Hakuna jambo baya ambalo Magu amelifanya ambalo linaweza kufuta mazuriyake.
Magu atabaki kuwa rais aliesubutu kudhibiti wapigaji mafisadi waziwazi bila kificho, na rais pekee aliehubiri maendeleo kwa vitendo.
Nadjani ulitakiwa kuandika mbele yetu nyuma yake.Mbele yake nyuma yetu...
So pesa za wahanga inabidi serikali iziibe kwa sababu hakuna serikali duniani inayojengea watu nyumba. Samahani ila wew ni punguaniView attachment 2480640
You are being redirected...
www.icealion.co.tz
Hakuna serikali inayojengea watu nyumba baada ya maafa duniani ata nchi tajiri kama U.S au Japan ambazo natural disasters zinatokea often.
Suluhisho ni kukata bima ya makazi, watanzania mnapenda kuongopewa sio kupewa tough love kwa maneno ya ukweli.
Kama kudhulumu pesa za watu, kuteka raia, kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kufukuza watu kazi kwa visasi ndo mambo makubwa basi Mama Samia hawezi kumzidi Magu.
So pesa za wahanga inabidi serikali iziibe kwa sababu hakuna serikali duniani inayojengea watu nyumba. Samahani ila wew ni punguani
Kwenye ubongo wako kuna mavi.alimdhurumu nani? alimfukuza nani? alimteka nani?
So wataka list ili usikitike?Ivi hao raia aliowauwa wataje Ili tusikotike wote