Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Mungu anazidi kumuinua Magufuli hata akiwa katika hali ya umauti.
Misukule yake mnajua sana kujipa moyo. Mungu ni mwema sana aisee, yaani Watanzania tunaomba hata huko aliko afe tena
 
Mkuu ukiwa muovu hata ipite miaka 100 lazima utatajwa tu kama reference. Jiwe atatajwa miaka na miaka ili kila kizazi kujue kuwa tusije pata tena Rais from Sukuma gang
 
Taahi.ra nyie hiyo mimba ya JPM inawatesa sana, inaonesha aliiba akamuhonga mama yako, ingieni field kwenye majukwaa mumdhihaki hivi muone kitakachowapa na sio mnajificha JF na multiple accounts zenu mapumliwa visogoni nyie.
Umekosa hoja wewe, mara mimba mara kupumuliwa, huwezi andika bila matusi? Watu wanaelezea maovu ya Jiwe wewe unaleta matusi, kama kwako alifanya mazuri basi yaandike. Kifupi Watanzania wengi wenye akili timamu wanamwona alikuwa mwovu kupindukia
 
Kizuri hakikosi kasoro, napengine hujui hata undani wa jambo lenyewe lilikuwaje.

Acheni kuokoteza visababu uchwara Ilimradi ionekane na wewe unapambana na marehemu.

Hakuna jambo baya ambalo Magu amelifanya ambalo linaweza kufuta mazuriyake.

Magu atabaki kuwa rais aliesubutu kudhibiti wapigaji mafisadi waziwazi bila kificho, na rais pekee aliehubiri maendeleo kwa vitendo.
 
Jk alisemwa sana kipindi Cha JPM ila sikuona mkidai ni chuki au kwamba anamtesa akili JPM. ni kawaida hata akija Rais mwingine 2030 Mama Samia atasemwa sana kama JPM ndio siasa za Afrika zilivyo.

Kingine 2025 wagombea ni wawili tu so far na both Samia and Lissu ni anti JPM hawahitaji kumtaja JPM maana hawa compete naye Bali kati Yao so Samia anaeleza alichofanya huku LISSU akieleza madhaifu yaliyopo..... Sasa hapo JPM atajwe wa Nini? Kwani ni mgombea?
 
Hakuna kiongozi wa hovyo kuwahi kutokea kama Jiwe, Mungu ni mwema na msikivu kwani alituondolea hilo dubwana bila damu kumwagika
Hivi mnaposema bila damu kumwagika mna maana gani? Kungekuwa na wa kumwaga damu basi ingemwagwa siku nyingi maana kilio cha miaka yote ni ccm kutoka madarakani ila tumebaki kujiambia kuwa watanzania ni waoga.

Sasa tukisema Magufuli katoka bila kumwagika damu inakuwa kama kuna hao wa kumwaga damu nchi hii au kulikuwa na uelekeo wa damu kumwagika wakati hadi leo hakuna hata dalili ya kutokwa vinundu tu kwa kuitoa ccm madarakani.
 
Taahi.ra nyie hiyo mimba ya JPM inawatesa sana, inaonesha aliiba akamuhonga mama yako, ingieni field kwenye majukwaa mumdhihaki hivi muone kitakachowapa na sio mnajificha JF na multiple accounts zenu mapumliwa visogoni nyie.
Mara ngapi mama kamkosoa jiwe jukwaani uliona akipigwa mawe? Lissu kwenye kampeni alimkaanga sana JPM mpaka Chato ila sikuona akifanyiwa vurugu na wananchi zaidi ya Polisi wenyewe. waTanzania ni waelewa na wanajua ukweli na uongo uko wapi.
 
Mara ngapi mama kamkosoa jiwe jukwaani uliona akipigwa mawe? Lissu kwenye kampeni alimkaanga sana JPM mpaka Chato ila sikuona akifanyiwa vurugu na wananchi zaidi ya Polisi wenyewe. waTanzania ni waelewa na wanajua ukweli na uongo uko wapi.
Watanzania wanauelewa gani mkuu? Yapi yenye kuonyesha watanzania wana uelewa?
 

Sema serikali iliwajengea, Mama yako analipwa mshahara na anatumia na familia yake.
 
Watanzania wanauelewa gani mkuu? Yapi yenye kuonyesha watanzania wana uelewa?
WaTanzania ni waelewa ukweli na uongo bila ku force hisia zao kuonekana. Kiufupi Wana uvumilivu wa hoja kinzani sio kama Kenya au Uganda. Ndio maana huku unaweza kwenda Butiama na kumkosoa Nyerere wasikufanye kitu ila kule Kenya Kuna mikoa ukifika kama Kiambu ukimkosoa Mzee Jomo Kenyatta unaweza kuuawa.

That's what I meant so unaweza ita uelewa au kuchukuliana au uvumilivu wa kisiasa n.k
 
Namaanisha kuwa uvumilivu wa maovu ya Jiwe ungefika ukingoni haraka sana kuliko uvumilivu wa maovu ya ccm. Rais kuua raia wako unadhani Watanzania wamgevumilia mpaka lini?
 
Akili kubwa sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…