Hivi kwanini Hayati Magufuli aliamua tu kuwa katili bila sababu zozote?

Huo sio uelewa, nilitaka kushangaa kwamba watanzania hawa hawa wawe waelewa!!

Halafu la kumkosoa Nyerere nakumbuka Lissu alivyomkosoa Nyerere bungeni watu walimuona kamkosea heshima baba wa Taifa.
Hapana wale ni wabunge tu ambao ni 0.000000001 ya waTanzania wote so wao kulalamika ni sawa maana maslahi Yao yameguswa. Ila Kwa Raia wa kawaida sikuona aliyemkosoa Lissu kwa hotuba Ile in fact alipo clarify ndio akajiongezea political mileage zaidi. Ila Imagine kwenda chato kwa Rais aliyepo madarakani alafu ukamuita DIKTETA na FISADI!! unadhani nchi kama Uganda au DRC pasingetokea machafuko??

WaTanzania ni waelewa sana no wonder JPM alitutukana sana watu wa Mara kuwa hatuletei maji Wala barabara sababu hatuichagui CCM ila tulikaa kimya bila kurusha Jiwe. Kama sio uelewa ni Nini?
 
Angalia watu wake kama Bashite, Saambaya, Mnyeto ndiyo utajua huyo mungu wenu alikuwa mtu wa aina gani
 
Sio wabunge tu hata humu wapo waliyomkosoa Lissu kwa kumsema Nyerere, halafu mkuu hicho unachokizungumzia sio uelewa kabisa watanzania hawana uelewa. Hata hii ccm bado inaendelea kuwaburuza watanzania kwa sababu watanzania hawana uelewa wapo wapo tu.
 
Lissu hawezi gombea wewe.

2020 UTAELEWA SASA KWA NINI JPM BADO ANAISHI
 
Vp kuhusu waliofanya sherehe mpaka kuchinja ng'ombe? Wengi walikwenda kuhakikisha kama kweli kafa. Toka amekufa umeshasikia kuwa kuna mtu katekwa? Mkuu tuwe wakweli watu wake kama Saambaya, Bashite na Mnyeto inakupa picha kuwa Jiwe alikuwa mtu kwa aina gani?
 
Sawa mungu, na wewe huko motoni unaingia lini[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Mungu asingeingilia kati kukupa akili za mkopo unazotumia kumpangia Mungu sijui ungekua mtaa gani ukiokota okota kata
Mkuu sijakuelewa hapo kwenye mkopo, ni mkopo wa nini tena?
 
Mkuu ukiwa muovu hata ipite miaka 100 lazima utatajwa tu kama reference. Jiwe atatajwa miaka na miaka ili kila kizazi kujue kuwa tusije pata tena Rais from Sukuma gang
Upande wangu namtaja kama Rais mwana Mageuzi wa karne hii.
Katufungua akili ya kutaka maendeleo kwa kasi sana. Kazi kazi.
 
Ahaaaa, kweli nimekumbuka. Ingawa hili wimbi la pili kama lilidili na viongozi kwa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Najiuliza kila siku kwanini viongozi ndiyo walifyekwa zaidi?
 
Changamoto ya kuiba 1.5 Trillions? Wa

Yuko wapi sasa na hizo trillions alizokwapua?
Wewe ambaye unamshutumu kua kaiba,utaishi milele?
Uwe mwizi,mwema,mhuni,mtakatifu na hata uwe na madaraka yoyote yale,au usiwe na madaraka yoyote yale,kufa kama alivyokufa JPM,utakufa.
Msione yeye kufa kwake,ni kama adhabu,hapana ile ni njia ambayo kila anayeisoma hii komenti,ataiptia,na hata ambaye hajaisoma na labda hataisoma,lazima waipite hiyo njia,halikadhalika na mimi niandikaye.
 

Sasa hapo ukatili uko wapi?

Shida yenu hamtaki kuambiwa ukweli na magu alikuwa anawaambia ukweli ambao nyie hamtaki kusikia

Mnataka kusikia uongo wa kwenye makaratasi Tu, serikali imetoa Bilion 10, au serikali imetoa trilion 5

Ukienda site hakuna kitu


Sasa si Bora magu alikuwa anasema ukweli?
 
Lissu hawezi gombea wewe.

2020 UTAELEWA SASA KWA NINI JPM BADO ANAISHI
Hata asipogombea hoja ni kwamba Chadema is against JPM so does CCM ya Samia. Sasa JPM Wa Nini? Move on tuna matatizo mengi kama Umeme, mfumuko wa bei, bunge dhaifu, ajira, kilimo n.k hayo ndiyo yataamua Rais wa 2025 sio marehemu ambaye ameshaoza.
 
Mimi naeleza picha halisi ya watanzania walivyokuwa wanamchukulia Magufuli kutokana na hoja yako ya kwamba walikuwa wanavumilia maovu yake na kwamba wangekuja kuchoka kitu ambacho hakina uhalisia au tuseme hali ya uvumilivu ilikuwa bado ipo ya kutosha kwa muda mrefu wala sio ya kuchoka karibuni, sisemi kwamba hakuwa na watu wanaomchukia na hao wanaomchukia sio wote kwa sababu ya maovu ya Magufuli tu bali pia wamo ambao waliharibiwa ulaji wao n.k

Kwa kifupi hakukuwa kabisa na hiyo hali ya watu kuwa wanavumilia tu mauwaji ya Jiwe na kwamba watachoka.
 

Hata ukisikiliza kwenye clip magu amesema serikali itarudisha Miundombinu yake ndio kama hizo barabara, zahanati tofaut mama Samia ametumia lugha nyepesi na magu alikuwa anatumia lugha ngumu ila wote wamefanya kitu kile kile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…