zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Kivipi Kenyatta na Museveni waguswe na kadhaa Ile alafu Rais aseme hawezi toa msaada sababu serikali haikuleta tetemeko? Kwani Kenyatta aliyesaidia alileta tetemeko? Mbona Kuna kitengo Cha maafa kazi yake ni Nini kama serikali haipaswi kufidia majanga Ile bajeti Ina kazj Gani?Sasa hapo ukatili uko wapi?
Shida yenu hamtaki kuambiwa ukweli na magu alikuwa anawaambia ukweli ambao nyie hamtaki kusikia
Mnataka kusikia uongo wa kwenye makaratasi Tu, serikali imetoa Bilion 10, au serikali imetoa trilion 5
Ukienda site hakuna kitu
Sasa si Bora magu alikuwa anasema ukweli?
Acha kutetea ujinga, michango ilichangwa kwa ajili ya wahanga alafu serikali ikaichukua na kuipeleka walipotaka wao. Hebu tafakari nyumba yako imeharibiwa na tetemeko afu msaada umetolewa ili ujengewe nyumba ingine afu serikali inasema hizo fedha zikajenge madarasa. Hapo utajisikiaje?Hata ukisikiliza kwenye clip magu amesema serikali itarudisha Miundombinu yake ndio kama hizo barabara, zahanati tofaut mama Samia ametumia lugha nyepesi na magu alikuwa anatumia lugha ngumu ila wote wamefanya kitu kile kile
Kivipi Kenyatta na Museveni waguswe na kadhaa Ile alafu Rais aseme hawezi toa msaada sababu serikali haikuleta tetemeko? Kwani Kenyatta aliyesaidia alileta tetemeko? Mbona Kuna kitengo Cha maafa kazi yake ni Nini kama serikali haipaswi kufidia majanga Ile bajeti Ina kazj Gani?
Acha kutetea ujinga, michango ilichangwa kwa ajili ya wahanga alafu serikali ikaichukua na kuipeleka walipotaka wao. Hebu tafakari nyumba yako imeharibiwa na tetemeko afu msaada umetolewa ili ujengewe nyumba ingine afu serikali inasema hizo fedha zikajenge madarasa. Hapo utajisikiaje?
Arusha watoto walikufa (Ajali yagari ya St. lack vicent ) rambirambi zikachangwa afu baadae inaamuliwa pesa hizo zikakarabati hospitali!? yani tulifikishwa kubaya sana.
Binafsi mimi siikubali ccm wala sio mfuasi wa Mama Samia ila kiukweli na kiungwana Mama anafanya mambo makubwa na tunapaswa kumuunga mgono. Rais ndie raia namba moja anatakiwa kuonyesha utu kwa vitendo na mama hilo analifanya
Kweli JPM alikuwa katili ila alikuwa katili kwa mafisadi na wapiga deal
Usisahau na kina mama wajawazito na masikini ambao hawakutozwa tozo pamoja na machinga na watanzania kiujumla walionufaika na miundombinu bora pamoja na matumizi mazuri ya fedha zao za kodi! Hao pia walikuwa watu wake!Angalia watu wake kama Bashite, Saambaya, Mnyeto ndiyo utajua huyo mungu wenu alikuwa mtu wa aina gani
Hakuwa na mke Mchagga. Never everMkewake wa kichaga ndiye alimchanganya hasira zooote zikawa kwa WANANCHI
Ni kweli kabisa. Hatakaa awepo rahisi mwingine anayeweza kula michango ya wahanga kumzidi. Hili na mengine ya namna ya hii yatadumu daima.Kama ndiyo hivi, nawahakikishia Hayati Magufuli ataendelea kutrend kwa muda mrefu sana, maana haipiti siku bila kuanzishiwa post mpya!
Mama Samia ni tofauti kabisa na Magu.Hata ukisikiliza kwenye clip magu amesema serikali itarudisha Miundombinu yake ndio kama hizo barabara, zahanati tofaut mama Samia ametumia lugha nyepesi na magu alikuwa anatumia lugha ngumu ila wote wamefanya kitu kile kile
Wewe ni mpumbavu. Kasome ibara ya 46 ya katiba ujue nguvu za Rais.Sema serikali iliwajengea, Mama yako analipwa mshahara na anatumia na familia yake.
Anafanya mambo makubwa kwa kumlinganisha Magufuli au umetimia vigezo kuona anafanya mambo makubwa?Acha kutetea ujinga, michango ilichangwa kwa ajili ya wahanga alafu serikali ikaichukua na kuipeleka walipotaka wao. Hebu tafakari nyumba yako imeharibiwa na tetemeko afu msaada umetolewa ili ujengewe nyumba ingine afu serikali inasema hizo fedha zikajenge madarasa. Hapo utajisikiaje?
Arusha watoto walikufa (Ajali yagari ya St. lack vicent ) rambirambi zikachangwa afu baadae inaamuliwa pesa hizo zikakarabati hospitali!? yani tulifikishwa kubaya sana.
Binafsi mimi siikubali ccm wala sio mfuasi wa Mama Samia ila kiukweli na kiungwana Mama anafanya mambo makubwa na tunapaswa kumuunga mgono. Rais ndie raia namba moja anatakiwa kuonyesha utu kwa vitendo na mama hilo analifanya
Na ukawa Binadamu, ukakosa UTUKuna tofauti kati ya mtu na binadamu....unaweza kuwa mtu halafu ukakosa ubinadamu
Kanawiri au kanenepa? Maana sidhani kama alikuwa kafubaa.Ni hulka yake ya kuzaliwa. Si unaona hata mjane amenawiri na kupata nuru.
Bt usisahau kuwa sa100 alikuwa Makamo wa Magu,Mafuriko ya Mbeya Rais Samia ametoa msaada wote wa kibinadamu.
Serikali imeweka full attention kusaidia wahanga. Nimefarijika sana.
Sasa nikakumbuka lile tetemeko la Kagera.. Magufuli alivyo wakashifu wahanga na kutosaidia chochote.. akasema 'kwani mimi ndo nimeleta tetemeko, fanyeni kazi...' na blabla kibaoo.
Sasa natafakari hapa ni kwanini Magufuli aliamua tu kuwa katili na kuweka ubinadamu pembeni kabisa. Why?
View attachment 2478896
Kama kudhulumu pesa za watu, kuteka raia, kubambikizia watu kesi za uhujumu uchumi na kufukuza watu kazi kwa visasi ndo mambo makubwa basi Mama Samia hawezi kumzidi Magu.Anafanya mambo makubwa kwa kumlinganisha Magufuli au umetimia vigezo kuona anafanya mambo makubwa?
Hata walioshambuliwa kwa risasi au ambao ndugu zao 'wamepotezwa' mfano wazazi wa Ben Saanane pia hawana sababu ya kumchukia mwendakuzimu Jiwe?Na ndio wengi ambao wanapiga kelele
Mtu ambae ulikuwa unapata hela yako Kwa haki uwez kumchukia magufuli