MZAZI ANAYE AMINI KUWA MALI KACHUMA YEYE NA MKEWE AU MUMEWE WATOTO WAKATAFUTE VYAO AWEZI KUJENGA UCHUMI WA HIVYO NDANI YA FAMILIA...UBINAFSI WA WAZAZI ...CHOYO YA WAZAZI ..MAFARAKANISHO YA WAZAZI NDIYO CHANZO...mzazi anaye amini kuwa watoto awapaswi kutegemea mali ya familia au urithi mzazi wa hivyo awezi kuifanya familia yake kuwa na uchumi wa pamoja.Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya kiuchumi) familia huendeleza biashara hizo na kurithishana kizazi hadi kizazi bila kuuza wala kugawanywa kwa warithi. Hii husaidia familia hizi kutoanza kutoka mavumbini kama tulivyo wengi wetu hapa tz,
Familia nyingi za kitanzania baada ya kufa muasisi awe Baba au mama wa familia watoto huanza kugombania Mali na kugawana assets au kuziuza kabisa na kugawana hela. Yani hawawezi kuthubutu kutunza na kuendeleza alipoishia muasisi na kufanya biashara hizo au uwekezaji kuwa mkubwa kwa ajili ya kunufaisha kizazi kilichopo na kuandaa warithi kwa ajili ya vizazi vingine
Wengi wa walioacha uwekezaji mkubwa mali zao huishia kuuzwa au kugawanywa au tena kama kaacha wosia mali zisiuzwe basi watoto hawawezi kuendeleza kutoka moja kwenda mbili na tatu bali watabweteka na macho yote yatakuwa kwenye mirathi hiyo iwafanyie kila kitu wala hawatashughulika kuitunza wala kuiendeleza na kuwekeza zaidi mwisho wa siku wanaishia kugombana na kesi zisizoisha mahakamani
Je, elimu ndio tatizo?
Je wewe kama mwanafamilia unaona nini kikwazo?
Je ni kweli biashara za kifamilia hazina tija kwa familia za kitanzania?
Kama ipo tija nini kifanyike?
Umeweka mikakati gani kuhakikisha kizazi chako kinaendeleza unachokifanya?
Karibu tujadili.
Ni kweli pia japo nahisi watoto wetu wapo huru mno kujichagulia stadi za shughuli zao nje na zile zinazoweza kuubeba ukooHili nalo ni tatizo tunaishi kibepari zaidi na sio kijamaa
Lakini tuchukue mfano wa familia za kizungu kama vile Gates, Rockefeller na Ford ambazo zinaishi kibepari kama sisi lakini zimeweza kudumisha tamaduni ya biashara za kifamilia toka kwa muasisi hadi sasa, wao wanafanyaje?
Kuna kitabu nimesoma kuwa huwa wanasajili Mali zao na kuziweka under trust au Foundation ambapo wataalamu wa uchumi huajiriwa kwa ajili ya kusimamia mali na biashara za warithi huku warithi wenyewe wakiwa kama wasimamizi wakuu na wenye maamuzi
Kwa njia hii hata kama huyo mtoto atakuwa anaishi kivyake haizuii uendelezwaji wa mirathi na haki zake pia hazipotei
Yaaan acha kabisa mkuuUnampa fursa yeye anawaza ufe ili aone hapo unapotolea hizo fursa.
Ni hatarr Mali hzi taabu tupuSio kidogo kaka purukushani za mirathi tz hazijapata muarubaini
Wazazi wa hivyo ni wa kupigwa vita dunia imeshahama huko tupo kwenye kuwekeza hisa na miradi ya muda mrefu au estate sasa kijana ataanzaje from scratch wakati mzee umepambana na ukifa uendi navyo unaviacha unamuachia nani zaidi ya watoto wako? Kama ni ndio kwanini waanze upya kuliko kuendeleza ulipoishiaMZAZI ANAYE AMINI KUWA MALI KACHUUMA YEYE NA MKEWE AU MUMEWE WATOTO WAKATAFUTE VYAO AWEZI KUJENGA UCHUMI WA HIVYO NDANI 7A FAMILIA...UBINAFSI WA WAZAZI CHOYO YA WAZAZI ..MAFARAKANISHO YA WAZAZI NDIYO CHANZO...mzazi anaye amini kuwa watoto awapaswi kutegemea mali ya familia au urithi mzazi wa h9vyo awezi kuifanya familia yake kuwa na uchumi wa pamoja
Hoja yako siyo sahihi kilogic ...hata kidini mungu anaweza kukupenda wewe asiwapende wazazi wako ...hivyo hoja siyo kuchukia au kuua au kupiga hoja hapo je wanamchukia kwa HAKI AU LA ...Tumia akili kama wanamchukia baba yako nao ndiyo walio mdhulumu au wanamchukia kinyume na haki ...basi tambua kuwa baba yako naye anawachukia sawa sawa na Haki ...ni kama katika nchi hata hapa Tanzania ...tunaye Rais muovu sana anaye wachukia Wazalendo na hivyo wazalendo nao wanamchukia huyo Rais muovu hivyo kunatokea kuchukiana ...hapo tunaona aina mbili za chukiYaaan acha kabisa mkuu
Nikikumbuka mzee wangu ndugu zake wamesema sio mtoto wa baba yao, ngachoka kabisa 😂
Afu mtu anataka nikikutana nae nimsalimie, salamu yangu wataisikia
mpaka wanawaambia watu mtoto wa fulani hanisemeshi, mimi huyu kama hawamjui mzee wangu mm watanijua kama nani??
Mtu huwez mchukia mzazi wangu afu unipende mm ?
Mm nimetoka ndani ya maungo yake,
Eeh bana Mali zangu ni zangu hao mashangazi wakafie mbele!!!!
Ni wazazi wasio na akili ...cha kushangaza utawakuta watoapo hoja za kusifia matajiri kama baresa ...sasa swali ukiwauliza je watoto wa baresa wanaanzia chini kabisa kutafuta maisha jibu linakuwa hapana maana wao uendeleza utajiri wa baba yao ndani ya familia hata kabla ajafa na wanaanzia kileleni kukuza uchumi ....sasa kituko ni wazazi wapumbavu wanao tamani watoto wao waanzie mavumbini kutafuta maishaWazazi wa hivyo ni wa kupigwa vita dunia imeshahama huko tupo kwenye kuwekeza hisa na miradi ya muda mrefu au estate sasa kijana ataanzaje from scratch wakati mzee umepambana na ukifa uendi navyo unaviacha unamuachia nani zaidi ya watoto wako? Kama ni ndio kwanini waanze upya kuliko kuendeleza ulipoishia
Hapo umezungumzia ishu za dini,Hoja yako siyo sahihi kilogic ...hata kidini mungu anaweza kukupenda wewe asiwapende wazazi wako ...hivyo hoja siyo kuchukia au kuua au kupiga hoja hapo je wanamchukia kwa HAKI AU LA ...Tumia akili kama wanamchukia baba yako nao ndiyo walio mdhulumu au wanamchukia kinyume na haki ...basi tambua kuwa baba yako naye anawachukia sawa sawa na Haki ...ni kama katika nchi hata hapa Tanzania ...tunaye Rais muovu sana anaye wachukia Wazalendo na hivyo wazalendo nao wanamchukiq huyo Rais muovu hivyo kunatokea kuchukiana ...hapo tunaona aina mbili cmza chuki
1)chuki dhidi ya haki na..
2)chuki kwa ajili ya haki
KWA HIYO WEWE KUSEMA NI LAZIMA ANAYE MCHUKIA MZAZO WAKO YEYE NDIYO MBAYA UNAKOSEA KWA SABABU JE IKIWA WANAMCHUKIA MZAZI WAKO KWA SABABU YEYE NDIYE MBAYA ?hivyo hapo unatakiwa KUHUKUMU KWA HAKI SIYO KWA KUTAZAMA MZAZI AU MJOMBA AU NDUGU AU MAMA NK ..TUONGOZWE NA HAKI SIYO UNDUGU URAFIKI , MAOENZI NK
2)
Ujaelewa nilicho kusahihisha soma tena kwa kutumia akili ...Hapo umezungumzia ishu za dini,
Ishu ni kusema baba yangu sio ndugu yao na hawajashare baba!!!
Na ni kitu serious nasemea,
Kama alikuwa baba yao na sio baba yake mzee
Iweje kipindi chote huyo baba yao ashinde na kuwa nasi Leo hii waseme sio baba yake ? Na wanafanya vikao vyao vya kishenzi !!
Mbaya zaidi wanawaambia watu wa karibu na sisi na bado utayasikia
Binafsi sina chuki na mtu maake sio ndugu zangu, ni ndugu wa mzee
Hata mmoja wa waliosema mzee sio ndugu yao alipass away lakini mzee alienda
Mimi sikuenda sehemu yoyote maake mtu sina mawasiliano nae 10+ yrs na upuuzi wao mwingi tuu
Mambo ya Mungu yaache kwanza, tudili face to face
Haiwezkn nina akili timamu wakwende wakafie mbele..... Kila mtu na mambo yakeUjaelewa nilicho kusahihisha soma tena kwa kutumia akili ...
Chuki imegawanyika kwenye makundi mawili
1)haki dhidi ya batili
2)batili dhidi ya ubatili
Mimi nilicho sema ni dhana yako kuwa amchukiaye baba yako awezi kukupenda wewe ...nikakuambia kuwa siyo sahihi inategemea hiyo chuki ni ya namna gani ...mfano wewe unaweza kumchukia kaka yako tena kwa haki kabisa kutokana na ubaya aliokutendea ila usiwachukie watoto wake .....ila kwenye tukio ulilo sema wewe kuwa baba yako ndiyo walimtendea vibaya hao ndugu zake maana yake HAKI haipo upande wao ipo upande wenu hivyo ni sahih9 wewe kuwachukia na kuwaepuka .
Mfano wa mwisho usipo elewa basi ...mfano ingekuwa baba yako ana chukiwa na kaka zake kwa sababu huyo baba yako ndiye aliye wakana hao kaka zake ili apate mali nk na akafanya hivyo ...hivyo baba yako ndiye muovu kwa kaka zake ...maana yake kungekuwa na chuki pia baiba ya baba yako na kaka zake ila ni kinyume na ilivyo sasa ....je wangekupenda wewe licha ya baba yako kuwa ndiye aliye watendea ubaya unge chukia ?
Aiseee. Kazi unayo. Hahaahaa.Yaaan acha kabisa mkuu
Nikikumbuka mzee wangu ndugu zake wamesema sio mtoto wa baba yao, ngachoka kabisa 😂
Afu mtu anataka nikikutana nae nimsalimie, salamu yangu wataisikia
mpaka wanawaambia watu mtoto wa fulani hanisemeshi, mimi huyu kama hawamjui mzee wangu mm watanijua kama nani??
Mtu huwez mchukia mzazi wangu afu unipende mm ?
Mm nimetoka ndani ya maungo yake,
Eeh bana Mali zangu ni zangu hao mashangazi wakafie mbele!!!!
Biashara kubwa (umetaja Bill Gates) haziendeshwi kifamilia.Hili nalo ni tatizo tunaishi kibepari zaidi na sio kijamaa
Lakini tuchukue mfano wa familia za kizungu kama vile Gates, Rockefeller na Ford ambazo zinaishi kibepari kama sisi lakini zimeweza kudumisha tamaduni ya biashara za kifamilia toka kwa muasisi hadi sasa, wao wanafanyaje?
Kuna kitabu nimesoma kuwa huwa wanasajili Mali zao na kuziweka under trust au Foundation ambapo wataalamu wa uchumi huajiriwa kwa ajili ya kusimamia mali na biashara za warithi huku warithi wenyewe wakiwa kama wasimamizi wakuu na wenye maamuzi
Kwa njia hii hata kama huyo mtoto atakuwa anaishi kivyake haizuii uendelezwaji wa mirathi na haki zake pia hazipotei
Yes! Wataalamu wa masuala ya fedha ndio wasimamizi lakini wamiliki wa share/hisa ni wanafamilia na sio individualBiashara kubwa (umetaja Bill Gates) haziendeshwi kifamilia.
Ni public listed company inayouza hisa zake kwenye soko la hisa(alama ya hisa: MSFT kwenye NASDAQ) na ina mamilioni ya wawekezaji duniani kote.Kwa sasa, Bill Gates haishughulikii tena Microsoft moja kwa moja na anamiliki asilimia ndogo tu ya kampuni.Uamuzi wa kampuni unafanywa na wakurugenzi na wasimamizi walioteuliwa kitaaluma, si wana familia.