Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
Natamani kuwa hivyo, nikiwa na kitu nitawaweka na watoto wakijueJe mimi na wewe tunaweza kuwa wazazi bora wa kuwaandaa watoto waje kuyatimiza haya kwa jamii yetu hii ya kitanzania?
Natamani kuwa hivyo, nikiwa na kitu nitawaweka na watoto wakijueJe mimi na wewe tunaweza kuwa wazazi bora wa kuwaandaa watoto waje kuyatimiza haya kwa jamii yetu hii ya kitanzania?
Nilijua wangu tu kumbe kila sehemHuwajui ndugu wa baba kaka
Pole sana Money and Blood don't mix Mkuu. Ili mfanye hiyo biashara ni lazima kuwe na mfumo imara wa nidhamu kwa wote na iwepo kwenye mfumo wa kisheria.Hadi naandika uzi ujue kishanilamba
Alafu kwenye familia mmojaKwa sababu mna roho mbaya, husda, wizi, utapeli na mnaamini sana ushirikina.
Hamuamiani kabisa, hata mwanao anakuibia na mke ndio usiseme kabisa
Tofauti na jamii zingine ambazo zinaamini kuacha kitu kwa vizazi vyao
Unakuta tu watoto wako 4Kwa sababu mna roho mbaya, husda, wizi, utapeli na mnaamini sana ushirikina.
Hamuamiani kabisa, hata mwanao anakuibia na mke ndio usiseme kabisa
Tofauti na jamii zingine ambazo zinaamini kuacha kitu kwa vizazi vyao
Mfano mzee kaacha nyumba moja center ambayo Ina fremu za kupangisha kama kumi na nyingine ya kuishi pamoja na shamba. Watoto akawa nao 15Kwa maoni yangu, pamoja na sababu zingine, idadi ya watoto kuwa wengi inachangia pia
Mfano, kwa mali kidogo iliyopo na mzee ana watoto say 7, ni ngumu kuwatosha au kuwashirikisha wote, hapo ndipo kauli ya tafuteni mali zenu hujitokeza
Ila kama mtoto ni mmoja au wawili ni rahisi kuwafundisha na kuwarithisha
Tofauti na familia ya Mengi kuna zinginePole sana Money and Blood don't mix Mkuu. Ili mfanye hiyo biashara ni lazima kuwe na mfumo imara wa nidhamu kwa wote na iwepo kwenye mfumo wa kisheria.
Zipo biashara za kifamilia za ndugu waafrika hapa bongo na zinafanya vizuri tu pia.
I dont think so. Mimi nimefanya kazi na wahindi na nimejaribu sana kuchanguza maisha yao. Namba moja ni kuwa hawajaathirika kama sisi na utamaduni wa kimagharibi. I mean bado kwenye familia zao wanaishi yale maisha ya kufuata misingi ya jadi i.e. mkubwa ndiyo kinara na anaheshimika kweli kweli. Labda jambo la kuzingatia ni kuwa hata hao wakubwa wanaoheshimiwa nao wanajiheshimu na wana nidhamu ya kazi. Mwafrika 1. hana nidhamu ya kazi na anatosheka mapema sana. 2. Anapenda anasa hasa wanawake. 3. Ni mwizi na anapenda ujanja ujanja.Kutokuandaliwa toka utotoni ili kuja kuendeleza biashara za wazazi wao,wazazi kua wasiri kwenye biashara zao na kutowashirikisha watoto wao,
Waarabu,wahindi na hao wengineo,huwaandaa watoto wao kuja kuendeleza biashara zao,
Wazazi wengi wa kibongo hawana tabia hiyo,watoto hawaandaliwi kuja kushika biashara za wazazi wao,
So,kwavile hawana maandalizi wala experience,hiyo biashara huishia kufilisika tu na kufa,
Pia biashara inahitaji nidhamu ya hali ya juu sana,na hayo yote hupatikana kuanzia kwenye malezi ya mtoto mpaka makuzi yake.
Mada inazungumzia mali kutokugawanywa kwa warithi!!Kwani hawajatoboa?
Mwafika sijui ni nini anachoweza. Akipata kidogo matako hulia mbwata. Angalia watu kama kina Lugumi. Lugumi angekuwa ni mhindi wala usingejua kuna mtu kama huyu kwa sababu ange-operate chini chini kuongeza utajiri wake. Lakini kwa mwafrika anaona keshamaliza kila kitu kiasi cha kutembea na msafara na kujigamba kila sehemu,Hili nalo ni tatizo tunaishi kibepari zaidi na sio kijamaa
Lakini tuchukue mfano wa familia za kizungu kama vile Gates, Rockefeller na Ford ambazo zinaishi kibepari kama sisi lakini zimeweza kudumisha tamaduni ya biashara za kifamilia toka kwa muasisi hadi sasa, wao wanafanyaje?
Kuna kitabu nimesoma kuwa huwa wanasajili Mali zao na kuziweka under trust au Foundation ambapo wataalamu wa uchumi huajiriwa kwa ajili ya kusimamia mali na biashara za warithi huku warithi wenyewe wakiwa kama wasimamizi wakuu na wenye maamuzi
Kwa njia hii hata kama huyo mtoto atakuwa anaishi kivyake haizuii uendelezwaji wa mirathi na haki zake pia hazipotei
Yaani kuna mambo unajiuliza na kujibu kuwa umasikini mwingi unasababishwa na ubinafsi na roho mbaya.Unakuta tu watoto wako 4
Wanaachiwa nyumba potential area unakuta kaka l/dada anajifanya mjuaji anatumia ukubwa wake kuwakandamiza wenzake kama kodi anakula pekee yake mwisho wa siku
Wenzake wanaamua pauzwe kila mtu afe na chake
Ova
Hao ndio wanakuja kufa masikini wa kutupa kwa laanaAlafu kwenye familia mmoja
Anajifanya mjuaji,kila kitu kaachiwa yeye
Refer,kuuza mali(nyumba)familia
Ova
Ulichokiandika hapa,ndicho nilichokiandika mimi kwenye last paragraph ya comment yangu uliyoiquote,I dont think so. Mimi nimefanya kazi na wahindi na nimejaribu sana kuchanguza maisha yao. Namba moja ni kuwa hawajaathirika kama sisi na utamaduni wa kimagharibi. I mean bado kwenye familia zao wanaishi yale maisha ya kufuata misingi ya jadi i.e. mkubwa ndiyo kinara na anaheshimika kweli kweli. Labda jambo la kuzingatia ni kuwa hata hao wakubwa wanaoheshimiwa nao wanajiheshimu na wana nidhamu ya kazi. Mwafrika 1. hana nidhamu ya kazi na anatosheka mapema sana. 2. Anapenda anasa hasa wanawake. 3. Ni mwizi na anapenda ujanja ujanja.
Ndiyo maana nikakukatalia kuwa tatizo siyo kushirikisha watoto kwa sababu watoto wengin wanapopewa nafasi ya kushirikiana na wazazi au jamaa zao huiba na kukimbilia starehe bila kusahau short cut ya kutaka mafanikio.
Zipo Mkuu nazijua kadhaa zipo kwenye utalii na kilimoTofauti na familia ya Mengi kuna zingine
Mtu anayemuua Baba yake ili arithi hiyo mali,hawezi kuendelea coz hana akili,mtu mwenye akili timamu hawezi kumuua Baba yake kisa mali,Yaani kuna mambo unajiuliza na kujibu kuwa umasikini mwingi unasababishwa na ubinafsi na roho mbaya.
Nimeshuhudia vijana wamemuuwa baba yao ili wagawane mifugo.
Baba kafa wamegawana mifugo yote zaidi ya elfu moja
Baada ya miaka mitatu hata mazizi hayajulikani tena.
Wamemuacha mama yao mjane bila sababu za maana.
Unakuta wengi wana akili za hivyo.
Mtu anapewa fursa ya kujiendeleza Badala yake anakulia timing akumalize
Unadhani watakuja kuwa na kampuni watu kama hao