Hivi kwanini jamii ya kitanzania hatuwezi kufanya biashara ya kifamilia

Ni kweli watoto nao wabinafsi, wavivu na mambumbu

Mfano kuna familia wameachwa watano, mzee kaacha duka na nyumba kama tano zipo center ya mji lakini bado wanakimbilia kugawana na kuuza na wengine ni wasomi kabisa wana elimu ya University

Yani hata kusema waanze alipoishia mzee na wakuze kilichokuwepo hamna wanawaza kugawana wale kodi
Huo ndo ujinga kuuza Mali ni hatari Sana mkuu Mimi nimzuia mzee wangu kuuza Mali kwakuwa the game is unpredictable
 
Binafsi naona haina haja maan wengi wao ni wezi tuu pia hiki kizazi ni hatari kuendleza biasha ya famlia
 
Huo ndo ujinga kuuza Mali ni hatari Sana mkuu Mimi nimzuia mzee wangu kuuza Mali kwakuwa the game is unpredictable
Umefanya vyema ila pia mshauri aziwekee ulinzi mapema akazisajili na aweke muongozo wa uongozi na uendeshaji hata kama ni chache. Ni vizuri akifanya mapema na ikiwezekana astaafu kama ni biashara na uendeshaji mapema awaachie vijana mshike usukani huku akiwaelekeza hiyo itawapa confidence hata akitoweka msipate tabu mbeleni
 
Vzr Sana mkuu sema ktk familia yetu hakuna MTU amewahi Ku-run business labda Mimi then Mali zilizopo ni ambazo haziingizi hela mpaka uweke mikakati .

Ni Nyumba kadhaa na mashamba
 
Watoto wa Mengi kama asingeoa na kuzaa na K Lyn wangetoboa!
 
Kutoaminiana kwenye familia, pia hao waoana mabinam, mtoto wa baba mkubwa etc
 
Serikali ingeanzisha biashara darasa ambapo vijana wangekuwa wanaomba nafasi za kujifunza ili kupata ujuzi kama ilivyo kwa kada nyingine za kiujuzi.
Hii itasaidia hata kwa vijana walio na urithi wa biashara kutoka kwa wazazi wao kuendeleza biashara zao vizuri kwa ujuzi.
Nadhani hili sio swala serikali Bali elimu mitaani.com ndo imekosena.
Bongo mtu ana mali kibao anaweza kutengeneza Trust Fund ambayo mali yake itasimamiwa na Trustee ambaye ndio atatoa direction ya mali au uwekezaji. Mfano kijana wangu akifikia miaka 21 apewa kiasi fulani, apewe hisa, scholarship, awe board member n.k inategemea na hiyo Trust fund inajiekeza vipi.
 
Vzr Sana mkuu sema ktk familia yetu hakuna MTU amewahi Ku-run business labda Mimi then Mali zilizopo ni ambazo haziingizi hela mpaka uweke mikakati .

Ni Nyumba kadhaa na mashamba
Nyumba, ardhi na mashamba ndio assets kubwa katika kutengeneza utajiri, sio lazima biashara hata uwekezaji wenye manufaa nikupe mfano,

Kuna Kijiji zamani kilikuwa ni kakitongoji tu sema kamepitiwa na barabara kuu ya kwenda mkoa, hapo kuna mzee alikuwa anamiliki mashamba na alipanda mazao ya kudumu(minazi) mashamba yake yako karibu na barabara kuu

Yule mzee alikufa miaka ya 90's na kuwaachia watoto pia alikuwa na nyumba kadhaa watoto waliuza baadhi ya nyumba na kuacha nyumba moja kwa ajili ya watoto wa kike pamoja na mashamba

Sasahivi Kijiji kimekua na kuwa halmashauri maeneo yote yamekuwa viwanja watu wananunua na kushusha gorofa na mijengo mikubwa yani kiwanja cha sqm400 hukipati chini ya mil4 na shamba ni kubwa kweli kweli

Sasa kama ni familia yenye kuamini uchumi wa kifamilia wakiuza ni kuwekeza zaidi na kununua mashamba mengine au maeneo kando ya mji. So usidharau mkuu
 
Nadhani hili sio swala serikali Bali elimu mitaani.com ndo imekosena.
Bongo mtu ana mali kibao anaweza kutengeneza Trust Fund ambayo mali yake itasimamiwa na Trustee ambaye ndio atatoa direction ya mali au uwekezaji. Mfano kijana wangu akifikia miaka 21 apewa kiasi fulani, apewe hisa, scholarship, awe board member n.k inategemea na hiyo Trust fund inajiekeza vipi.
Umeeleza vizuri sana kiongozi sasa sijui tunakwama wapi kufanya kama ulivyosema au ni uelewa mdogo?

Maana ukiweka mali katika trust umeshaidhibiti haiuzwi wala kugawanywa hadi masharti ya grantor yabadilike na kuna zingine huwa ni za kudumu huwa hauwezi kubadilisha masharti
 
Nyumba, ardhi na mashamba ndio assets kubwa katika kutengeneza utajiri, sio lazima biashara hata uwekezaji wenye manufaa nikupe mfano,

Kuna Kijiji zamani kilikuwa ni kakitongoji tu sema kamepitiwa na barabara kuu ya kwenda mkoa, hapo kuna mzee alikuwa anamiliki mashamba na alipanda mazao ya kudumu(minazi) mashamba yake yako karibu na barabara kuu

Yule mzee alikufa miaka ya 90's na kuwaachia watoto pia alikuwa na nyumba kadhaa watoto waliuza baadhi ya nyumba na kuacha nyumba moja kwa ajili ya watoto wa kike pamoja na mashamba

Sasahivi Kijiji kimekua na kuwa halmashauri maeneo yote yamekuwa viwanja watu wananunua na kushusha gorofa na mijengo mikubwa yani kiwanja cha sqm400 hukipati chini ya mil4 na shamba ni kubwa kweli kweli

Sasa kama ni familia yenye kuamini uchumi wa kifamilia wakiuza ni kuwekeza zaidi na kununua mashamba mengine au maeneo kando ya mji. So usidharau mkuu
100%✊🏿
 
Mambo ayo wanaweza waindi bongo ukifanya biashara ya kifamilia utaskia watu wanasema TAFUTA CHAKO USITEGEMEE CHA URISI lkn wahindi ndo mambo yao bongo mtauana tu
 
Acha tufe masikini hatuna namna
 
Umeeleza vizuri sana kiongozi sasa sijui tunakwama wapi kufanya kama ulivyosema au ni uelewa mdogo?

Maana ukiweka mali katika trust umeshaidhibiti haiuzwi wala kugawanywa hadi masharti ya grantor yabadilike na kuna zingine huwa ni za kudumu huwa hauwezi kubadilisha masharti
Sasa kama mali haiuzwi ndio faida yenyewe yaani generational wealth.
Trust funds ziko kama aina 3.
Private-kwa ajili ya familia kulinda mali ya familia kwa wanufaika kama watoto na ndugu wengine.
Charitable - hii ni choice yako kama sadaka na ni nnje ya huu uzi.
Investment - hapa ndio penye utamu. Mnunulie lunch kijana aliye graduate sheria akupitishe vizuri. Somo likiingia mlipe lawyer professional akusaidie hii kazi.
 
Ni kweli watoto nao wabinafsi, wavivu na mambumbu

Mfano kuna familia wameachwa watano, mzee kaacha duka na nyumba kama tano zipo center ya mji lakini bado wanakimbilia kugawana na kuuza na wengine ni wasomi kabisa wana elimu ya University

Yani hata kusema waanze alipoishia mzee na wakuze kilichokuwepo hamna wanawaza kugawana wale kodi
Hawana abc tangu zamani wamekua na kukuta mijengo tu hawajui cha kufanya wanaona bora kuuza....wazazi wa kiafrica wabinafsi mno
 
Je mimi na wewe tunaweza kuwa wazazi bora wa kuwaandaa watoto waje kuyatimiza haya kwa jamii yetu hii ya kitanzania?
 
Back
Top Bottom