DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Huo ndo ujinga kuuza Mali ni hatari Sana mkuu Mimi nimzuia mzee wangu kuuza Mali kwakuwa the game is unpredictableNi kweli watoto nao wabinafsi, wavivu na mambumbu
Mfano kuna familia wameachwa watano, mzee kaacha duka na nyumba kama tano zipo center ya mji lakini bado wanakimbilia kugawana na kuuza na wengine ni wasomi kabisa wana elimu ya University
Yani hata kusema waanze alipoishia mzee na wakuze kilichokuwepo hamna wanawaza kugawana wale kodi
Umefanya vyema ila pia mshauri aziwekee ulinzi mapema akazisajili na aweke muongozo wa uongozi na uendeshaji hata kama ni chache. Ni vizuri akifanya mapema na ikiwezekana astaafu kama ni biashara na uendeshaji mapema awaachie vijana mshike usukani huku akiwaelekeza hiyo itawapa confidence hata akitoweka msipate tabu mbeleniHuo ndo ujinga kuuza Mali ni hatari Sana mkuu Mimi nimzuia mzee wangu kuuza Mali kwakuwa the game is unpredictable
Baby wangu. Sweetie. Kichuna wangu. Maaambo mammy nakukiss mmwaaahWazazi wa kiafrica mioyo ya korosho
Vzr Sana mkuu sema ktk familia yetu hakuna MTU amewahi Ku-run business labda Mimi then Mali zilizopo ni ambazo haziingizi hela mpaka uweke mikakati .Umefanya vyema ila pia mshauri aziwekee ulinzi mapema akazisajili na aweke muongozo wa uongozi na uendeshaji hata kama ni chache. Ni vizuri akifanya mapema na ikiwezekana astaafu kama ni biashara na uendeshaji mapema awaachie vijana mshike usukani huku akiwaelekeza hiyo itawapa confidence hata akitoweka msipate tabu mbeleni
Hahhaaa
Nadhani hili sio swala serikali Bali elimu mitaani.com ndo imekosena.Serikali ingeanzisha biashara darasa ambapo vijana wangekuwa wanaomba nafasi za kujifunza ili kupata ujuzi kama ilivyo kwa kada nyingine za kiujuzi.
Hii itasaidia hata kwa vijana walio na urithi wa biashara kutoka kwa wazazi wao kuendeleza biashara zao vizuri kwa ujuzi.
Nyumba, ardhi na mashamba ndio assets kubwa katika kutengeneza utajiri, sio lazima biashara hata uwekezaji wenye manufaa nikupe mfano,Vzr Sana mkuu sema ktk familia yetu hakuna MTU amewahi Ku-run business labda Mimi then Mali zilizopo ni ambazo haziingizi hela mpaka uweke mikakati .
Ni Nyumba kadhaa na mashamba
Umeeleza vizuri sana kiongozi sasa sijui tunakwama wapi kufanya kama ulivyosema au ni uelewa mdogo?Nadhani hili sio swala serikali Bali elimu mitaani.com ndo imekosena.
Bongo mtu ana mali kibao anaweza kutengeneza Trust Fund ambayo mali yake itasimamiwa na Trustee ambaye ndio atatoa direction ya mali au uwekezaji. Mfano kijana wangu akifikia miaka 21 apewa kiasi fulani, apewe hisa, scholarship, awe board member n.k inategemea na hiyo Trust fund inajiekeza vipi.
100%✊🏿Nyumba, ardhi na mashamba ndio assets kubwa katika kutengeneza utajiri, sio lazima biashara hata uwekezaji wenye manufaa nikupe mfano,
Kuna Kijiji zamani kilikuwa ni kakitongoji tu sema kamepitiwa na barabara kuu ya kwenda mkoa, hapo kuna mzee alikuwa anamiliki mashamba na alipanda mazao ya kudumu(minazi) mashamba yake yako karibu na barabara kuu
Yule mzee alikufa miaka ya 90's na kuwaachia watoto pia alikuwa na nyumba kadhaa watoto waliuza baadhi ya nyumba na kuacha nyumba moja kwa ajili ya watoto wa kike pamoja na mashamba
Sasahivi Kijiji kimekua na kuwa halmashauri maeneo yote yamekuwa viwanja watu wananunua na kushusha gorofa na mijengo mikubwa yani kiwanja cha sqm400 hukipati chini ya mil4 na shamba ni kubwa kweli kweli
Sasa kama ni familia yenye kuamini uchumi wa kifamilia wakiuza ni kuwekeza zaidi na kununua mashamba mengine au maeneo kando ya mji. So usidharau mkuu
Sasa kama mali haiuzwi ndio faida yenyewe yaani generational wealth.Umeeleza vizuri sana kiongozi sasa sijui tunakwama wapi kufanya kama ulivyosema au ni uelewa mdogo?
Maana ukiweka mali katika trust umeshaidhibiti haiuzwi wala kugawanywa hadi masharti ya grantor yabadilike na kuna zingine huwa ni za kudumu huwa hauwezi kubadilisha masharti
Hawana abc tangu zamani wamekua na kukuta mijengo tu hawajui cha kufanya wanaona bora kuuza....wazazi wa kiafrica wabinafsi mnoNi kweli watoto nao wabinafsi, wavivu na mambumbu
Mfano kuna familia wameachwa watano, mzee kaacha duka na nyumba kama tano zipo center ya mji lakini bado wanakimbilia kugawana na kuuza na wengine ni wasomi kabisa wana elimu ya University
Yani hata kusema waanze alipoishia mzee na wakuze kilichokuwepo hamna wanawaza kugawana wale kodi
Je mimi na wewe tunaweza kuwa wazazi bora wa kuwaandaa watoto waje kuyatimiza haya kwa jamii yetu hii ya kitanzania?Hawana abc tangu zamani wamekua na kukuta mijengo tu hawajui cha kufanya wanaona bora kuuza....wazazi wa kiafrica wabinafsi mno
Kwani hawajatoboa?Watoto wa Mengi kama asingeoa na kuzaa na K Lyn wangetoboa!