Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 16,028
- 23,380
Hili kwangu ni jipya isee!Ulipigwa pesa kidogo mkuu, alikuhurumia sana. Watu huchaji laki, kukupa namba ya simu tuu. 😊
Kumbuka nina nguvu na ukiniona utanikimbia,Kama kwenye hili umekazia,
Ukiwa unatoka job chochoroni ntakuvizia,
Na kama utajaribu kunikimbia,
Kelele za mwizi ntakupigia,
Issue ni kuwa wanaume wana romanticize kufanyiwa haya mambo..Hili kwangu ni jipya isee!
Kwa hiyo ukiuziwa hiyo namba, aliyekuuzia haruhusiwi kukublock?
Na je haruhusiwi kukupiga chini pindi unapomtongoza?
Nimeuliza maswali haya ili kupima impact baada ya tendo hilo la kuhonga!
Fikiria mtu anayepata malipo kabla ya kufanya kazi namna anavyokuwaga msumbufu!
Hiyo laki haiwezi kuliwa bure kweli?
Pisi kwa sababu ya ule ushombe shombe wake?She's one of them, ana akili alaf pisi
Siwezi kukimbia mana sina hzo tabia,Kumbuka nina nguvu na ukiniona utanikimbia,
zaidi ya yule Pawa Mabula nakuambia,
Kila anayeniona huwa ananishangaa,
Nimepanda hewani sekunde njiani naambaa ambaa.
Nipo nampa punch huyu secretarybirdHahaha kuna kuchangamsha genge pia
Kwenye Ugomvi wenu msinihusisheNipo nampa punch huyu secretarybird
Nakupiga kwa dharau hadi nakuua,Siwezi kukimbia mana sina hzo tabia,
Wewe unalewa Coca wenzako wanalewa bia,
Ninakuvunja uti matibabu nalipia,
Nikija kazini kwako kwa bosi nakuharibia..
Wakati huo mimi napasha huku nje nije kukinukishaNipo nampa punch huyu secretarybird
Lazima uhusike maana wewe ndio umetengeneza ulingo (uzi)Kwenye Ugomvi wenu msinihusishe
Twende kazi 🔥.Nipo nampa punch huyu secretarybird
Sasa rasmi leo nimepata kujua,Nakupiga kwa dharau hadi nakuua,
kabla sijakupiga nanyetika yaani najichua,
kabla sijajichua nakupa kwanza nguo zangu unazifua,
Kabla hujazifua naamuru unipikie kachori na bagia,
kisha unapasafisha pale kuku wanakotagia,
Yaani ni mlolongo mrefu hadi utanichukia.